Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshe monuments tano hapo Dar ndio tujue uko serious.
Monuments tz no vitu vya kawaida bwege Wewe , wala sio mpaka DSM sasa, hii hapa no Chuga 👇hizi hapa monuments tano nje ya DSM . Arusha hiyo na hizi no cheche tu kati ya monuments zlizopo Arusha .. unataka na mji gani nikuletee 😂😂😂 hata Dodoma pia zipo kibao 😂😂
 
Umekosa hadi ukaenda kutafuta maeneo mengine. Nikisema Dar ni jiji la kishamba munajam. 🤣🤣🤣🤣🤣

Unapost hadi decorations eti ni monument. 🤣🤣🤣🤣
 
Umekosa hadi ukaenda kutafuta maeneo mengine. Nikisema Dar ni jiji la kishamba munajam. 🤣🤣🤣🤣🤣

Unapost hadi decorations eti ni monument. 🤣🤣🤣🤣
Hehehehe fanya ku zoom tu hiyo no monument kaka 😂😂
 
Umekosa hadi ukaenda kutafuta maeneo mengine. Nikisema Dar ni jiji la kishamba munajam. 🤣🤣🤣🤣🤣

Unapost hadi decorations eti ni monument. 🤣🤣🤣🤣
Nilitaka kuonyesha kwamba hivyo sio vitu vya ajabu ni vitu vya kawaida sana, kila mahali hapa bongo vipo 👇hii ni Geita porini kabisa uko kwakina Magufuli monuments zipo
 
Unafikiri Rova Ride hapa Dar wanapikia haya magari Mtori au Githeri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyoona yanakunywa Mtori haya?

View attachment 2042703
View attachment 2042704
wakenya ni washamba sana,hii yote sababu tuna argue hapa na kenyan poorest wanaohisi walivyoviona kenya kwa huu ukanda hakuna pengine,

ndiyo maana Tz huwa hatuleti mijadala yakipuuzi,wakenya wote wa humu ni choka na hawajatembea
 
Tunataka kuona street security surveillance system ndani ya CBD, major roads na suburbs.
Dar bado ni jiji la kishamba hii dunia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]











huna hoja wewe,mzee wa electric car & charger

hoja zako za kitoto hata Mtu wa taifa lililoendelea akija humu akaona post yako atakuona stupidy more

endelea na ushamba wako
 
Tegemea magoli kubadilishwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
yaani kadri siku zinavyozidi kusogea nazidi kuwadharau sana wakenya..

yaani humu kwa thread nimegundua kuwa tuna argue na kenyan vichwa box no exposer ni chokoraa kabisa hawajawahi move out in reality zaidi ya google in
 
huna hoja wewe,mzee wa electric car & charger

hoja zako za kitoto hata Mtu wa taifa lililoendelea akija humu akaona post yako atakuona stupidy more

endelea na ushamba wako
Dar ni jiji la kishamba with no historical record.
 
huna hoja wewe,mzee wa electric car & charger

hoja zako za kitoto hata Mtu wa taifa lililoendelea akija humu akaona post yako atakuona stupidy more

endelea na ushamba wako
Ile National Museum yenu inafanana shule ya chekechea. 🤣🤣🤣
You should take Notes.
 
Kwani Dar hakuna monuments🤣🤣🤣 Aibu kubwa kweli kama hamuweki kumbukumbu.

nyie ni nchi ya City moja tu kila kitu NAIROBI.. usichokijua ni kwamba mambo mengi ya kihistoria na Tz hayajafanyikaga hapa Dar .. na ndio mana unaona kila mji kuna monuments nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…