Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameumia, yn wanajifanya hawaoni mafundi wapo kazini[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fundi wagani since 2014 hadi wa leo na ghorofa zimemea nyasi. Hio ni stalled project.
 
Tunajenga modern electrified SGR, Hydro power plant, tunanunua EMU, tunanunua ndege modern kwa cash, tunatoa maji ziwa Victoria kupeleka kila pembe ya nchi, tunajenga meli kubwa, ndio tushindwe vi apartments, r u serious?
What's your HDI moron.....those basic things are being done in every country nowadays
 
Stalled Yani imekwama, cry more [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imesimama eehhh hata mm naona, mind u upon completion it will be the biggest estate in East and Central Africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
What's your HDI moron.....those basic things are being done in every country nowadays
Nitajie nchi yoyote East and Central Africa inayojenga electrified SGR, cable stayed bridges (ukitoa Uganda), or BRT, makasiriko pelekea Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…