Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GHOROFA LILILOANGUKA NA KUUA WANNE GOBA, DC NA MBUNGE 'WAKESHA' ENEO LA TUKIO, WATOA TAMKO​


 

What a response! 😂
Hawa waliibiwa hadi wakaibiwa na akili zao pia
Me naona kama hamuijui historia ya Tz ni bora tu mnyamaze, au kama mpo hapa tubishane tuu na tusifikie muafaka sawa endeleeni kujifurahisha hamkatazwi .. by the way hii ndio historia ya viongozi wa tz mnaweza kifunza kitu hapa 👇 . . . . . Mkitaka kujua kuhusu historia za maisha yetu, tuulizeni tutawahadithia .. sio mnahangaika kutusemea uongo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…