Hahahaha, Tanzania tunafanya operation ya ubongo bila kufungua kichwa.Bwahahahaa!!!acha bone marrow tu, kuna na vingine vingi hko kwenu hata hamna ndoto navyo
..
The Aga Khan University Hospital is the first in the region to offer the Neurointerventional surgery, a less invasive procedure
...
Hakuna kitu km electrical SGR mzee[emoji1787][emoji1787]Nchi ya kwanza EA kuwa na electrical SGR.
Nchi ya kwanza EA kuwa na 3 tier flyover.
Nchi ya kwanza EA kuwa na BRT system.
Nchi ya kwanza EA kuwa na Cable bridge.
Nchi ya kwanza EA kutoa bone marrow transplant service.
Nchi ya kwanza EA kununua ndege kwa cash basis.
Tuishie hapa wakitaka naongeza.
Unaweza kunipa maana ya "ku electrify SGR?"Hakuna kitu km electrical SGR mzee[emoji1787][emoji1787]
Qlafu mbona tulitangulia kw vingi tu, kumbe nyie vyenu vinahesabika
Narudia tena, hakuna kitu km electrical sgr mzee..mizimu hko waliko hata wanakushangaa..Unaweza kunipa maana ya "ku electrify SGR?"
Hivi vyote ulivyotaja havina maana yoyote cz hata Djibout na Somalia wanafanya, ila hawawezi kufanya bone marrow transplant cz zinafanya nchi chache Afrika mana inapasa kuwa na wataalamu wabobezi na waliopata msingi mzuri wa elimu na ndiyo maana zipo nchi chache mno Africa nzima.Njoo kenya upate tiba bora km magufuli
Cardiology
Dentistry
Ear Nose & Throat
Endocrinology
Gastroenterology
General Medicine
General Surgery
Hematology
Maxillofacial Surgery
Nephrology
Neurology
Neurosurgery
Obstetrics & Gynecology
Oncology
Ophthalmology
Orthopedics
Pediatric Cardiology
Plastic Surgery
Pulmonology
Radiology
Spinal Surgery
Stem Cell Therapy
Urology
Vascular surgery
Tuma details zako nikufanyie booking na madaktari kabisa
Hapa wanafanyaje hebu niambie kwa kingereza, wanafanyaje hapa[emoji116][emoji116]Narudia tena, hakuna kitu km electrical sgr mzee..mizimu hko waliko hata wanakushangaa..
SGR una i-electrify vipi, emu tujuze engineer
Lete procedures za muhumbili tuzioneHivi vyote ulivyotaja havina maana yoyote cz hata Djibout na Somalia wanafanya, ila hawawezi kufanya bone marrow transplant cz zinafanya nchi chache Afrika mana inapasa kuwa na wataalamu wabobezi na waliopata msingi mzuri wa elimu na ndiyo maana zipo nchi chache mno Africa nzima.
Hizi hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lete procedures za muhumbili tuzione
Wana install umeme SGR line dar-moro, kwn we ulielewaje..Hapa wanafanyaje hebu niambie kwa kingereza, wanafanyaje hapa[emoji116][emoji116]View attachment 2029545
Bwahaha!!umekalia kuti kavu, lete prkcedures zinazofanywa muhumbili mzee[emoji1787][emoji1787]Hizi hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2029548
Ku install umeme ndio kingereza, Wakenya hamna akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wana install umeme SGR line dar-moro, kwn we ulielewaje..
Au ndio yale ya electrical SGR[emoji1787][emoji1787]
Kwishaaa!!bao moja tayari chali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ku install umeme ndio kingereza, Wakenya hamna akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Narudia tena, niambie kwa kingereza hapa wanataka kufanya nini [emoji116][emoji116]Narudia tena, hakuna kitu km electrical sgr mzee..mizimu hko waliko hata wanakushangaa..
SGR una i-electrify vipi, emu tujuze engineer
Source ya kwamba mnatambulika insta sioeeHuyu jamaa kwenye hii clip sio yule wa Ghana muigizaji maarufu?
Tamthilia zetu za ndani zinavutia international attention duh, kweli kiswahili kina nguvu sipati picture kama Tanzania ungekua English speaking country, Tanzania ni nchi maarufu sana kutokana na music and stuff japo kwa kiswahili, ingekua English, Tanzania tungeteka dunia lakini inawezekana utofauti wetu wa kiswahili ndio umetupaisha
Kwa kuzungu, hapa wanataka kufanya nini vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwishaaa!!bao moja tayari chali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Installation maana yake nini mzee, njoo taratibu na hzo bangi zako jamani..
Electrical installation maana yake nini mzee
Railway electrification;Narudia tena, niambie kwa kingereza hapa wanataka kufanya nini [emoji116][emoji116]View attachment 2029549
Which rail?Railway electrification;
Hapa umeumefika mzee[emoji1787][emoji1787]
RAILWAY ELECTRIFICATIONKwa kuzungu, hapa wanataka kufanya nini vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2029550