Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha Yaani wewe unaleta scholarships are you OK? 😂😂😂

Tena museums stuff 😂😂😂

Hizo video za maelfu ya Watanzania wakitawanyika ulimwenguni kwenye vyuo vikubwa duniani ni from their personal wallets bro 😅😅😅

Wanafunzi wanaosoma kwa scholarships za serikali, mashirika na wengineo hawahusiki hapa na kama hiyo ndio pona yenu mmeshashindwa kitambo.
 
Vipi mada ya bone marrow transplant service tuiache au tuendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tusiachie hadi watuwekee ushahidi au wakiri kwamba Tanzania ni baba lao ukanda huu
 
Na haya ndiyo yalikuwa majibu yao [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



1). My teacher___c____ from the United Kingdom.
a).are
b). is
c). am
d). be

2). What’s a_ name?
a). —
b). his
c). him
d). he

3. My friend___d____ in London.
a). living
b). live
c).lives
d).is live

4. Where___a____?
a). works Tom
b). Tom works
c). Tom does work
d). does Tom work

5). I____b___ coffee
a). no like
b). not like
c). like don’t
d). don’t like
 
Link ndio hakuna au sio.
 
Naomba mkunya mwenye uwezo akatae kwamba bone marrow transplant service inafanyika tuu Tz hapa EA na kama mtakaa kimya nisije kumsikia mkunya yeyote alinganishe hospitali za Tz na Kenya.
 
Naomba mkunya mwenye uwezo akatae kwamba bone marrow transplant service inafanyika tuu Tz hapa EA na kama mtakaa kimya nisije kumsikia mkunya yeyote alinganishe hospitali za Tz na Kenya.
@Tony254
NairobiWalker
kennedy0000
komora096
@Nexen
Njooni huku tafadhali Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lower your weapon broo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
@Tony254
NairobiWalker
kennedy0000
komora096
@Nexen
Njooni huku tafadhali Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiendelea kukaa kimya maana yake wamekubali kwamba Tz baba lao, yani tuwekeze pesa nyingi vile kwenye sector ya afya alafu waje kushindana wkt wao pesa ya afya wanaiba.
 
Unataka kuongelea suala la huduma za afya je nchi yako inatoa bone marrow transplant service? Kama haitoi kaa kmy au kaongee na rafiki zenu kule jukwaa la Uganda.
Bwahahahaa!!!acha bone marrow tu, kuna na vingine vingi hko kwenu hata hamna ndoto navyo

..

The Aga Khan University Hospital is the first in the region to offer the Neurointerventional surgery, a less invasive procedure

...
 
Nchi ya kwanza EA kuwa na electrical SGR.

Nchi ya kwanza EA kuwa na 3 tier flyover.

Nchi ya kwanza EA kuwa na BRT system.

Nchi ya kwanza EA kuwa na Cable bridge.

Nchi ya kwanza EA kutoa bone marrow transplant service.

Nchi ya kwanza EA kununua ndege kwa cash basis.

Tuishie hapa wakitaka naongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…