Wapi iphone 7 aje aokote majivu ya wanjalaKajiripua wallah...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitarajii uione maana wewe na watanzania wenzako mpo hivi
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
kwa Mara ya kwanza,Leo ndio naona mkenya anapost picha inayoonyesha slums za nairobi.
tumezoa kuona kila siku mki-repost picha za CBD.
hongera sana mkenya.umethubutu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeshaiongeza umefurahi sasa walikua wameisahau😀😀😀😀😀😀😀Sitarajii uione maana wewe na watanzania wenzako mpo hivi
Kadoda leo unakuwa mtu hivihivi yaani sijui! Yaani mtu kukuibia anaenda na akili zako? Hizo akili ulizotumia kufika ulipofika ameenda nazo? Acha kuwa hivi. Unanishangaza!!kama kutuonyesha display za laptop ndio mafanikio...basi endelea hivo kijana.chunga sana wakora wasije wakachukua hizo laptop.maana nairobi usalama ni mdogo sana.
Nakujaga uko kikazi chini ya USAID kwa hiyo Nairobi naifahamu kuliko ww ila kibera ndio sijawahi fikahuyo spensa ni dereva wa kuleta wazungu kutoka Arusha to Nairobi. ...hahaha. Hata kununua tomato sauce ya 5 bob analalamika. ..hahaha
no reality...pic
Eti nini wewe? Unamaanisha? ---no reality pic??!!!??no reality...pic
tumetisha .....aiseeee.......wakenya wajipange sanaDar es salaam Tanzania
Nimeona itanipotezea muda nimeona niongeze kwenye simu yangu😀😀😀😀😀😀Si uende ueditie kwenye Wikipedia? Hata hilo hujui??? Uswahilini Kuna vituko! Lakini leo nimekuta zumbukuku wa kupakia!! Daah!!
tumetisha .....aiseeee.......wakenya wajipange sanaDar es salaam Tanzania
Na siku utakayofika kibera hutokaa kusahau mpaka unakufa😀😀😀😀😀Nakujaga uko kikazi chini ya USAID kwa hiyo Nairobi naifahamu kuliko ww ila kibera ndio sijawahi fika
spensa_e
kenya mjipange......ona jinsi dar city ilivyonoga[emoji122] [emoji122] [emoji122]Dar es salaam Tanzania
tumetisha .....aiseeee.......wakenya wajipange sana
hatarDar es salaam Tanzania