Mbona dunia haitoi kwenye record ya biggest slum in the world...why?????Soo? Unajaribu kuachieve nini? Kibera ipo Nairobi naijua mwenyewe! Sijui lengo lako la kunitag ni nini! Kunishtua ama??
Tena ni kurekebishe, hiyo shule unaonyesha hapo ilibadilishwa na kuitwa Raila Odinga Learning Center
Kisha ona mabadiliko kwa Miaka tano ya Ken Okoth MP Kibera
Ndio kwa data za kupikaππππWewe nenda katafute ajira! Achana na wakenya! Ndio maana Kenya ina mabilionea mara mbili ya Tanzania, Uganda, Rwanda ukijumuisha!! We don't lick the feet!! We hustle through!!
kama kutuonyesha display za laptop ndio mafanikio...basi endelea hivo kijana.chunga sana wakora wasije wakachukua hizo laptop.maana nairobi usalama ni mdogo sana.Sahizi hivi tunaongea nipo kwenye ofisi yangu. Umejiona kwenye hiyo screen? Hata kama ni kakubabanya ila najaribu. Mwakani pia utaanza kunisikia kwenye hiyo Azam yenu. Kenyans are not for yes Boss kama nyinyi wabongo! Look for capital and quit
View attachment 552887
Mabilionea watokee wapi hapaπππWewe nenda katafute ajira! Achana na wakenya! Ndio maana Kenya ina mabilionea mara mbili ya Tanzania, Uganda, Rwanda ukijumuisha!! We don't lick the feet!! We hustle through!!
google map?...SMH.[emoji23] [emoji23]
i challenge you to bring real photos of dar es salaam that are displaying poverty and poor living standard as compered with what we see in photos of kibera and mathare.
Mbona wewe zuzu hivi? Nani aliyekuambia ukiajiriwa unatajirika?? Is Diamond employed? Is he poor?Mabilionea watokee wapi hapaπππ
Munapika data munatuletea data bandia
Bahati nzuri ss wabongo tunawajua in out ndio maana hamtupi shida kabsaππ
View attachment 552895
πππππππTanzanians na ajira....pthoh.Every employed Kenyan nowadays wants to own a Company by 35 years. ....huku hatujui "naomba" nonsense.
Ushasema anajira lazma apate kama anafanya kazi hahaha ππππMbona wewe zuzu hivi? Nani aliyekuambia ukiajiriwa unatajirika?? Is Diamond employed? Is he poor?
Tumehama kenya tumeenda brazil hahahaMany urban centers in the world have slummy portions.
Rio in Brasil
Hong Kong China
Nairobi Kenya
However the difference with Tanzania's Capital City is that the whole city is a Slum. Yaani Dar is Slum!!! Aibu
EWewe nenda katafute ajira! Achana na wakenya! Ndio maana Kenya ina mabilionea mara mbili ya Tanzania, Uganda, Rwanda ukijumuisha!! We don't lick the feet!! We hustle through!!
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Many urban centers in the world have slummy portions.
Nairobi Kenya
Hahahahah ππππ±πMany urban centers in the world have slummy portions.
Rio in Brasil
Hong Kong China
Nairobi Kenya
However the difference with Tanzania's Capital City is that the whole city is a Slum. Yaani Dar is Slum!!! Aibu
Kaamu kujiripuaπππππ[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
kwa Mara ya kwanza,Leo ndio naona mkenya anapost picha inayoonyesha slums za nairobi.
tumezoa kuona kila siku mki-repost picha za CBD.
hongera sana mkenya.umethubutu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa dar ikwapi nioneshe basiπππhttp://www.google.com/url?q=http://...ggLMAA&usg=AFQjCNGCqiCP9IsxWKuEExmoj14Nal66dQ
You can pretend but cant run.
Kajiripua wallah...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaamu kujiripuaπππππ