Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekuja kumsaidia mwenzako, haya wee hapa ni dar ama unapingaa. Vingunguti machinjioniπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Aliandika humu anamtuma mtu Dar aje apige picha then amtumie ili azipost humu...tunaelekea mwezi wa pili kama sio wa tatu alietumwa apige picha za Dar amekosa picha mbayambaya so kilichobaki sasa hivi ni kuokota okota picha ili kujifariji. [emoji23][emoji23][emoji23]

Stupidi manki.
 
ichoboy01 funga account Sasa huu Uzi umekushinda, final nail on your coffin[emoji3545][emoji116]View attachment 2021368View attachment 2021369
Hahahaha, una matatizo ya akili wewe, Sasa hizi picha ndio nini?, Weka visible photos, wacha woga mbona picha za slums zote za Kenya zinaonyesha hadi mifereji na mazingira halisi, kwanini unaogopa kuweka picha zinazoonyesha uhalisia wa eneo husika badala yake unaweka picha zisizoonekana, hizi picha ni Nairobi sio Dar, kanusha kwa ushahidi.
 
Ndio hizi hapa za Karibu


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…