Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Plus Dar ina watu milioni 7
Nairobi milioni 4
Mombasa milioni 1
Watu million 7 wanaoishi6 uswazini.
And who told you that the greatness of a city is measured by the number of people who live in it? Don't you ask yourself why Nairobi has a much bigger economy and is far much advanced than Dar despite the fact that Dar has a bigger population?
 
Huyu jibwa huwa yeye mkibishana tu anakimbilia kwenye vi apartments vya upande upande, miaka yote yuko hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jibwa huwa yeye mkibishana tu anakimbilia kwenye vi apartments vya upande upande, miaka yote yuko hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alokuzuia kuleta hizo viapartments ni nani wewe bwege? Si umeshinda hapa ukileta picha za Kariakor usiku na mchana? Ukiambiwa utoke nje kidogo ya hiyo cbd yenu unaanza povu kama unavyofanya hapa sasa. Apartments ziko kila mahali Nairobi bongolala so usikasirike, just he same way uswazi mko nayo kila mahali
 
Azam si ameshikilia manufacturing industry ya TZ kama yote. Heri Kenya at least kunakuanga na stiff competition in every sector.
ndivo mama ngina aliwadanganya hvo πŸ˜‚πŸ˜‚ ww ulipo hapo hata ndoto ya kumiliki ardhi huna
 
Mama Samia inawezekana hayuko buheri wa afya. Kwenye hii video anashikiliwa na mlinzi wake akiwa karibu kuanguka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…