Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is that the best you cab do?
 
Na unae jaribu kumdanganya nani we chizi,...inakaa hata Geography hukusoma...sasa sijui tutasemaje kwa hii[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
 
Kilimani pekee yake VS Dar CBD zote combined.., kilimani is sleek [emoji123] [emoji91]
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]





Ivi ww jinga unasema unaijua Dar and that is the best unaweza fanya[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii hata sio kariakoo wala CBD na kilimanyu sijui nini inapumuliwa vyema na akuna kupiga kelel
 
Lazy ni yule asie weza ata kujilisha , takatak km ww unatoa wapi jeuri ya kutuita lazy ikiwa sisi ndio baba zako shenz....tafuta hii[emoji116] kunyaaa nzima...eti unaongea density foolView attachment 2012503
Mtatoka nje ya hii CVD yenu lini kilaza? Nakupiga picha kilometers kadhaa kutoka CVD ila wewe bado upo cbd. Wacha nikuongeze Eastleigh ndio ujue hstuko level moja

 
Vile unachukua normal against the best yet still inapanguswa kalio
 
Hakuna kitu pale zaidi ya residential area tuu
The point ilikuwa ulete sehemu kama hiyo nje ya Hiyo cbd yenu whether it's residential or commercial. Unafikiri hatujui Kariakoo ni residential area as well?

Secondly, Eastleigh is both a commercial and residential area. There are many businesses and office spaces in Eastleigh, as well as hotels. The level of economic activity in Eastleigh can't be rivalled by many areas in Dar.

Look at these buildings for example, do they kook like residential buildings to you?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…