Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Sio kibera pekee
Kuna slums nyingi sana Nairobi nzima
Huruma
Dondora
kariobangi
Mathare
Korogocho
The list is endless
 
Ninachokipendea miji za Kenya ni planning. Dar kupata sehemu zimepangika hivi utatafuta na microscope
Hakuna any town outside Dar can level with our town residentials hakuna! Ndio maana Kenya is second to South Africa in Africa, kuanzia Kiambu county hadi Machakos, Dar haiwezi compete kwa residentials., zero 😂 😂 😂 ., utaona towns zao watakwama around town centre where kuna vigorofa.., residential ni za kawaida sana na vumbi most parts...,
 

And instead you should watch this disgusting thing huko kibera
Pigs live better life

 
Sio kibera pekee
Kuna slums nyingi sana Nairobi nzima
Huruma
Dondora
kariobangi
Mathare
Korogocho
The list is endless
View attachment 2011710
Mingi umeweka hapo wamejaza flats kwa wingi, alafu mnadhani mnaijua Nairobi kumbe google tu 😂 😂 😂 😂 .., tafuta aerial view one by one ndio ujue Dar yoote ni slum 😂 😂 😂 .., yaani nyie ni mifukara wa kiaina, zile sehemu zenye kwetu bado tunazitaja kama slum kwenu ni CBD., 😂 😂 😂 😂 Kwangware na mitaa yenu ya kawaida tofauti iko wapi? Kwangware hastermac roads, kuna flats na street lights hehehehe

Video clip ya Kawangware na surounding areas..,


Kayole matopeni

Kama hii ni sehemu ya Kayole slums.., ina maana Tz ni slum kuanzia sehemu za CBD kuendelea., 😂 😂 😂
 
And instead you should watch this disgusting thing huko kibera
Pigs live better life

Ukweli wa sasa unakutesa inabidi utafute stale news hehehe tunawafinya hadi basi 😂 😂 😂 😂
Kibera.., mtaa ndani.,
 

And again hapohapo kibera, this is a must watch documentary

Zombies of Nairobi

this is the outcomes of reproducing like rodents, mnazaana hovyo and you can’t take care of them in the end mnaleta maelfu ya mazombi huko kibera na mathare

Kenya is a ruthless harsh country ma..Mae wangese mna maisha magumu sana Nyie na wana siasa don’t give a fvck na hamna pa kwenda,

 
Ukweli wa sasa unakutesa inabidi utafute stale news hehehe tunawafinya hadi basi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kibera.., mtaa ndani.,


But honestly unawezaje kunya kwenye mfuko?
Hivi mtu kunya kwenye mfuko unadhani anakuwa na akili timamu kweli?
 
Hauna pa kutokea..,

Mgeni kakagua Dar, Kampala, Kigali, Mombasa.., akatoa majibu., meza wembe..., no city is more developed than Nairobi in EAC yoote or central Africa or West!! na pia hakatai mapungufu ya Nairobi lakini kwa ujumla katoa majibi 😂 😂 😂 😂
 
But honestly unawezaje kunya kwenye mfuko?
Hivi mtu kunya kwenye mfuko unadhani anakuwa na akili timamu kweli?
Lakini kwa sasa kunao wanao kunya kwa makaratasi? uko na taarifa ama bado ni google na youtube?..., najua hampendi ukweli lakini mtanyooka tu.., 😂 😂
 
Hauna pa kutokea..,

Mgeni kakagua Dar, Kampala, Kigali, Mombasa.., akatoa majibu., meza wembe..., no city is more developed than Nairobi in EAC yoote or central Africa or West!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pooing in bags have negatively impacted your cognitive capabilities boy.
 
Lakini kwa sasa kunao wanao kunya kwa makaratasi? uko na taarifa ama bado ni google na youtube?..., najua hampendi ukweli lakini mtanyooka tu.., [emoji23] [emoji23]

Kwaiyo kwa sasa hamnyi kwenye mifuko ?
 
Pooing in bags have negatively impacted your cognitive capabilities boy.
Pole kaka.., sio makosa yangu Dar kukuwa below Nairobi, ugua pole pole ukingojea SGR..., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Pole kaka.., sio makosa yangu Dar kukuwa below Nairobi, ugua pole pole ukingojea SGR..., 😂 😂 😂 😂 😂
Umempiga kuua akakosa pakutorokea akaanza story za slums kama kawaida😂😂😂
 
Umeona ulivyo huna akili, yani serikali ya Tanzania inajenga kwa pesa zake we unashangilia investors kujenga kila kitu Kenya, ss hapo jiulize pesa yako ya kodi inakwenda wapi kama sio kwa mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…