Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eneo kubwa ni Slums [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi kuna sehemu ina density kama hii hapa Afrika [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2011562

Eastlands iko na density na ni kubwa sana kuliko Dar CBD zoote kwa ujumla.,





Hii upuzi naweza kuhesabu jengo moja baada ya nyingine., tazama eti density 👇

Nenda mkasemezane na Mombasa mkinywa supu ya pweza kwa mahamri.., nyie ni CBD tu ndio sehemu ya maana.., size yenu mombasa 😂 😂

 
Hii inaitwa inferiority complex inawasumbua Wakenya kwa sasa juu ya Tz.
 

Hiyo labda tuipe ilala
 
😂😂😂 yani wakenya bhana 😂😂 kelele zote wanapiga ni summary ya kitu hiki apo chini👇eti wakijilinganisha na hii Dar 👇 NB😀AR photos are taken from different places.. and that shows how larger is Dar es Salaam.. alaf mkiambiwa NAIROBI ni tiny town tena mapori kibao muwe mnaelewa.. Don YF njoo uku nikushike makalio
 
Bongolala, nilisema unipe density kama hiyo NJE ya Dar cbd. Mimi nimekupa Eastleigh na Baba Dogo wewe bado umekwamilia cbd. Kama huna jibu heri utulize kende
Wewe unajua hapo ni wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Usijisumbue kaka..,



 
Bongolala, nilisema unipe density kama hiyo NJE ya Dar cbd. Mimi nimekupa Eastleigh na Baba Dogo wewe bado umekwamilia cbd. Kama huna jibu heri utulize kende
Kwahiyo umekubali CBD yetu ni kubwa na pana sana eti?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…