Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Umesahau kumbuka kuna
BRT airport to posta tayari WB kashatoa hela
BRT ya Tegeta to kivukoni pia
Dar-Chalinze highway
New selander bridge


Kuhusu ndondo cup grounds cjaskia ..ni nan anajenga hizo?
 
No hard feelings bro. .....saa zingine hard tackles inabidi.I am a gentleman bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo Dar chalinze last project itaishia dodoma ni sawa tu km 450. ....anytime wataanza ndani ya mwaka huu mark my word

Sent using Jamii Forums mobile app
There is a superhighway plan to Isiolo town if jubilee retains power but if nasa takes over they want the Mombasa Busia highway a dual carriage.....thats 1000km....either way thats good for the economy. Kibaki nayo alibadilisha Kenya in terms of infrastructure i must admit. .
.
From airports to roads.he was a silent introvert but performed very well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Northen corridor Arusha holili highway 4 lanes in Tanzania side project has already taking shape how about Kenya?
See Arusha will have a bypass road of about 42 km and that highway...Arusha Is going to be most important city after daresalam...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kumbuka kuna
BRT airport to posta tayari WB kashatoa hela
BRT ya Tegeta to kivukoni pia
Dar-Chalinze highway
New selander bridge


Kuhusu ndondo cup grounds cjaskia ..ni nan anajenga hizo?
Ndodo cup balozi wa china ameshatoa pesa chini ya mkuu wa mkoa.
Nimesahau kuhusu ajira nyingi zinamwagika.
 
No hard feelings bro. .....saa zingine hard tackles inabidi.I am a gentleman bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushangaa sana kujisifia vitu vya kawaida. Sisi tunawaonesha mega projects za uhakika siyo sio zenu white elephant.

Hivi jiulize ni tangu tuanze hii thread umeona ni kipi Nairobi inaizidi Dar. Zaidi sana dar inaizidi nairobi kwa vitu vingi sana.

Naona mnajifariji kwa kufanya posting ya majengo yale yale. Sasa subiri nakuketea picha leo napiga mwenyewe. Na wala sifanyi editing yoyote.
 


AAAIII....Really....mnataka tuwaonyeshe mbinguni ndio mridhike......hahaha
 
tena white elephants zimejaa kwao kuna konza big white elephant alaf kuna tatu city another big female white elephant alaf kuna hass ambayo ni kid white elephantπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nmeona mahali wb kama sio imf estimate zao kufikia mwaka 2022 World richest country itakua China, USA, India....
Uku Africa nilipigwa na mshangao kidogo baada ya kuona Ethiopia GDP 114,Kenya 112 and Tanzania $77bn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AAAIII....Really....mnataka tuwaonyeshe mbinguni ndio mridhike......hahaha
Rafiki yangu. Nimekuleza hakuna kitu chochote mlichoweka hakipo dar es salaam.
Dar es salaam ipo na vitu vingi ambavyo havipo nairobi.
Ni sifa za kijinga tu mnakomalia.
Kama barabara dar zinajengwa kwa kasi, flyovers zipo zinajengwa kwa mwendo wa mwanga, airport inajengwa tena ya kisasa.

Kipi sasa cha kujivunia kwenu!?
But nairobi hakuna BRT, hakuna Boats, hakuna beaches nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…