Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo kutoka upper hill wanapoonekana hawa jamaa mpk west kwenye vile vighorofa ndo unafananisha na mount kilimanjaro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Umerudia vipicha vimepakwa lipstick same area angles tofauti na za ki propaganda ili kupotosha wasio ijua Dar, 97% of the best buildings in Dar ulizo post ziko hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ zoote.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ukubwa wa Dar ni udongo na population., not CBDs.., πŸ˜‚ πŸ˜‚


Alafu hii πŸ‘‡ πŸ‘‡ picha mnatumia kuficha uhalisia, creating a deceptive perception.., eti most developed na kubwa.., ukubwa wa dar ni population na slums mnakoishi 90% kisha mna kana eti sio slums πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., CBDs bado sana ni angles mnatumia kupotosha wasio jua ukweli, idiot propagandists., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Picha kamili hii hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ ., Nairobi sio size yenu kamwe..,


 
Kwahiyo kutoka upper hill wanapoonekana hawa jamaa mpk west kwenye vile vighorofa ndo unafananisha na mount kilimanjaro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2011408
Ona sasa ulivyo boya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ yaani wewe ni ndwazi walai πŸ˜‚ πŸ˜‚ . yaani nilikua najaribu kutumia mfano kukuelimisha lakini wapi! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚., unafahamu kuna sehemu ya kenya Mt. Kilimamnjaro inaonekana very clear and appears so near, you might think unaeza ukatembea kwa miguu kwa nusu saa na ukafika, ilhali kwa gari itakuchukua masaa mawili or more.., idiocy on steroids πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., kuelimisha mtanzania ni kazi ngumu sana, IQ ni ndogo sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
 
Hizi ghorofa tano kando ya barabara ndio hua wanaita CBD🀣🀣🀣
 
Kwahiyo wewe unavyohisi hapa kwenye hivi vighorofa viwili unaweza kutembea kwa masaa mawili kufika[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Umepigwa na picha ya Nairobi west suburbs ukaenda kuleta picha ya CBD🀣🀣
Inferiority complex inawaumiza sana hawa vilaza.

Speaking of density, this is Baba Dogo, mtaa wa kawaida sana hapa Nairobi. Watupatie density kama hiyo hapo dar is slum nje ya cbd
 
Kwahiyo wewe unavyohisi hapa kwenye hivi vighorofa viwili unaweza kutembea kwa masaa mawili kufika[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2011440
Still misfiring πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., u ain't getting the concept am trying to outline here πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ fyata tu..
 
Akuna cha kufyataaa....Dom inatosha kuwachapa na ako kamji kenu katata kwa number of floors , 10 + to be specific
 
Inferiority complex inawaumiza sana hawa vilaza.

Speaking of density, this is Baba Dogo, mtaa wa kawaida sana hapa Nairobi. Watupatie density kama hiyo hapo dar is slum nje ya cbdView attachment 2011441
Na hii baba dogo bado iko categorized as a slum in Nairobi and it is by global standards, na Dar watakuambia hakuna slums.., if this is still a slum ina maana Dar ni slum 95% Dar-Kabul-Slum πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Baba dogo slum..,



VS

Dar standard housing yaani Suburbs..,
 
Jengeni aisee, ona hili density alafu linganisha na hiyo picha yako uone kama hujajiona inferior [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2011393
So unalinganisha Nairobi West na Dar city center!!!! Wewe kweli jinga type. Panguza machozi na Eastleigh.

Nipatie density kama hiyo nje ya Dar cbd kilaza wewe ndio ujue Dar Sio rika ya Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…