President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,204
Wenzetu hawa wanaishi maisha ya kuiga.Wanapenda kujifariji na bei zisizo na uhalisia za mitandaoni.
Hivi ni Mtanzania gani atapoteza muda wake kuagiza unga online wakati dukani kwa "mangi" wanauza hizo bidhaa kwa bei rahisi!
Jumia nae akafungasha.Wenzetu hawa wanaishi maisha ya kuiga.
Ndio maana NAKUMATI walikuja wakafungasha mizigo yao. Tanzania tunaishi maisha yetu.
Don't tell me bro.This Airbn in Masaki Dar es salaam will only cost you 23 Usd per night. [emoji41]
Serviced apartment in Dar es Salaam · ★4.50 · 1 bedroom · 1 bed · 1.5 baths
Luxurious & Comfortable Masakiwww.airbnb.com
View attachment 2001018
View attachment 2001019
View attachment 2001020
View attachment 2001021
Hawataki kuskia ukweli lakini hizi hapa bei za unga wa ngano.
TZ Azam wheat flour 2kg= Ksh 191
Kenya EXE wheat flour 2kg = Ksh 142
Kenya GDP per Capita PPP = 4926 International dollars
Tanzania GDP per Capita PPP = 2821 international dollars.
Nowonder retail industry yenu ni ndogo sana.
View attachment 2002173
View attachment 2002255
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwahiyo basi tukubaliane kuanzia leo maisha Kenya ni mepesi kuliko Tz kwamba mkunya wa kawaida atapata tabu huku Tz na mTz wa kawaida ataishi kiuwepesi Kenya sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
poleni aky. heshima na matammshi pia muhimu na uchunge. o'thws JF ningetolewa mileleWewe dyfre bahati yako mods wamefuta msg zako za kipuuzi, ningekucharua humu mpk ungejuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapenda kujifariji na bei zisizo na uhalisia za mitandaoni.
Hivi ni Mtanzania gani atapoteza muda wake kuagiza unga online wakati dukani kwa "mangi" wanauza hizo bidhaa kwa bei rahisi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeongea shit coz mi ni mlevi skuizi 24/7. na kazi nisipochunga ntapoteza aky. na venye kupata kenya ni ngumu sana aky. sikuhizi kila mtu ame soma
Kwa heshima yako nafuta msg yangu mkuu, nimegundua kumbe wewe ni comedy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]poleni aky. heshima na matammshi pia muhimu na uchunge. o'thws JF ningetolewa milele
Naona kama wasiishie floor hizo ni chache . Bora wakabishe wadau kuwapa nafasi ya kuongeza floor kwa juu . Nadhani itakua biashara japokua kwenye soko lakini juu unaweza kuweka restaurant na warehouse za wafanyabiashara . Serikali iwape au wawauzie eneo juu ya hilo soko jipya liwe 10 up to 15 floors itakua poa
Kumbe uko na vituko hvii[emoji23][emoji23]nimeongea shit coz mi ni mlevi skuizi 24/7. na kazi nisipochunga ntapoteza aky. na venye kupata kenya ni ngumu sana aky. sikuhizi kila mtu ame soma