Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeleza mambo kibao uharo mtupu. . Hili (tier five city) ni moja miongoni mwa majiji 100 yaliyomo ndani ya China.. then compare to what so ever called developed countries .. 😂😂😂 kama huwezi kutumia akili tumia hata matako basi kutambua kuwa China ni developed country tena hata mbele ya marekani
 
Watu wanunue equipments wawache domodomo. Regional hospitals zenu ni clinics tu. Sahii ndio mama ameomba Covid Relief fund pale IMF ili aweke atleast Xray machines na ICU kadhaa. Ukweli inauma lakini itabidii mutie bidii.

 
We have the most advanced and sophisticated medical Equipments than all other East African Countries cambined together, that's why we can perform the most advanced surgeries.
Nyie mumejaza magofu mikoani mzee, kubalini tu ukweli
 
Siwezi poteza wakati na huu mada tena, it's a one sided affair. Hakuna kitu ya maana munapost, kazi yenu tu ni kulalamika. Nueni vifaa kwanza.
Mazee mi pia nimeshangaa aisee, kumbe MRI kwao big deal
 
Narudia tena, MRI hta turkana mandera zipo
 
Watu wanunue equipments wawache domodomo. Regional hospitals zenu ni clinics tu. Sahii ndio mama ameomba Covid Relief fund pale IMF ili aweke atleast Xray machines na ICU kadhaa. Ukweli inauma lakini itabidii mutie bidii.

View attachment 1998476
Unakosa facts mpaka unaamua kukuona comments mitandaoni za watu wa hovyo tu ili ku justify upuuzi wako 😂😂😂.. jinga kweli we jamaa
 
Wakenya msaada wa haya maneno... Najua nimeyakosea saana ila utajibu utakapopaweza... Nimeyatoa kwenye song ya wakadinali - Avoid those people.

Walipura
Mtura
Kupurura
Dosho
Nandenga
Nigri
Peremende
Zitakurunda
Rende
Mokolo
Mbogi
Gwangi
Watoi
Wadingo
Kudiambo
Lido
Mbocho
Chipoo
Pupupu
Kukuku
Dandoo
Rende ni long
Mabundee
Natoka wela
Pang'ang'a
 
washazoea kuokota okota link walizojisambazia mitandaoni,,
wakenya ni chokoraa kabisa huwa hawaingii kwenye reality ya jambo bali hutegemea vilink uchwara ili kuficha uhalisia
 
Bila kutumia umaarufu wa Tanzania Kama vile Mlima Kilimanjaro, Oldavia Gorge, Magufuli, Diamond Platnumz, Ali Kiba, Harmonize hamuwezi kupata umaarufu kwasasa. Kenya hamna hadhi hata ya kuhifadhi maiti ya Magufuli. You have very low quality Hospitals.
 
tatizo siyo kudanganya tatizo hata anachokizungumzia hakijui ila ubongo wake unamtuma kuwa anafahamu
kumbe haelewi chochote
 
Embu County Hospital wanafanya neurosurgery.

Dr Daniel Njeru, CEO & Neurosurgeon - Embu Hospital​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…