Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nitarudi hapa baada ya masaa mawili [emoji23].. naona bado hawajaleta.. naona wanaangaika na maposts na mavideo.. yani wataje ICU ila wasitaje MRI scan? pia wakose hata picha moja ya MRI Scan? ah[emoji23]
We ni fala, hospitali zote za county zina hivyo vifaa. MRI scan bado inawashtua hapo bongo. 😂😂😂😂

 
Mshkaji huwa hujui kufupisha habari, huwa unaona ni bora kuandika maneno 10 yanayojirudiarudia kuliko kuandika kwa kifupi, inachosha sn.
Ni uzembe inakusumbua tu hakuna lingine., kusoma tatizo eti umechoka duh 😂 😂 😂
 
Mbio za km 10000?, labda asumbue Kenya but duniani atazungumziwa siku ya mbio tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzako yupo na marais ulaya hko we endelea kumsimanga hapo gongo la mboto[emoji1787][emoji1787]
Alafu best athlete of the year hayo sio maajabu, yani jamaa anapendwa kote kote ukitaka kujua nenda kw comments za video zake au post
 
nitarudi hapa baada ya masaa mawili .. naona bado hawajaleta.. naona wanaangaika na maposts na mavideo.. yani wataje ICU ila wasitaje MRI scan? pia wakose hata picha moja ya MRI Scan? ah
Ungepata tu elimu kidogo ungejua kazi ya Radiology Department ni ipi na ni vifaa gani vinapatikana huko.

Do us a favour, hio masaa mawili ikiisha hata usirudi hapa. Tunapunguza wajinga kwa hii forum. 😂😂😂

 

[emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimerud.. ni masaa mawili sasa toka saa 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jamen wameshindwa kuonyesha MRI scan iliyoko Garissa County Hospital ..walidai kila county hospital ina MRI scan.. sasa nimewaomba wanionyeshe tu iliyoko Garissa .. mpka sasa wakenya wote wameshindwa.. wameishia kupost articles za wanasiasa walevi wenzao zisizo hata na picha MRI scan.. achana na maneno ya kwenye gazeti.. hata mim naweza kuandika kwenye media/gazette kuwa health center yetu mtaani ina MRI scan .. bila picha hata video ni maneno bure.. kama MRI scan ingekuwepo ingekuwa fasta tu kuweka picha au video yake hapa..

wabongo, tuzingatie kuwa katika maneno kumi ya mkenya, msichukue hata moja!
Naomba nifunge mjadala wa kuhusu MRI scan kila county. Tuendelee na mambo mengine
 
[emoji23][emoji23][emoji23] niletee mojawapo tu ya garissa hapa.. tafuteni wote mlete.. i’m sure hakuna ataepata[emoji23][emoji23]

watanzania, mkenya ataeleta hospital ya garissa ina MRI scan naomba mnitag

.. [mention]komora096 [/mention] umepata picha au video ya MRI Scan iliyoko Garissa County? ni masaa mawili sasa yamepita tokea nilivyowaomba mlete
 
Wewe hakuna kitu unaweza tuambia, a country with only 2 radiology departments and 60 radiologists. Unatoa wapi nguvu ya kubishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…