Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NairobiWalker amekuwa mjinga, ila sishangai ndivyo makunya yalivyo usiyape credit hata cku moja.
 
Hii library ya UDSM tulishakubaliana hakuna sababu ya kulinganisha na uchafu wowote wa vinchi vya East and Central Africa, bali ni kiwakilishi cha Afrika, yn Africa nzima inabebwa na hii library.
Hapa kwenye Library kwakwelii hiii waachane nayo ni bonge la library
niliingia hapo mwezi wa tatu kwenye ile sehemu ya Scince kumetulia sana
 
What is its rank in Africa?
Hii hapa ni number moja Africa, nioneshe infrastructure yoyote mliyonayoo ambayo ni the number one in Africa, cc tayari tumeshatoa number one biggest university library in Africa, onesha kenya ni number one kwa infrastructure ipi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Foreigners wanajua No corona in Tz [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Now ushatoka kwenye SGR umerukia kwenye corona na ATCL!

Weka evidence hapa ikionesha serikali ya Tanzania ikitia sign makubaliano ya mkopo na Uturuki.
 
Hahaha, we jamaa bwana, you jump here and there,
ATCL is 100% State owned and so are the aircrafts, whatโ€™s wrong with that,?
You should be worrying of your poor mismanaged dying kq..
Hehehe, so ATCL is well managed yet it's already minting loses despite the government investing in it? ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
If you talk to any economist, the government buying planes for an airline is not something to boast about.

Ulisema mlijenga kwa hela zenu. $1.5 billion sio hela kidogo budaboss. Mlikopa na bado mmeshindwa kumaliza.
Our SGR has already connected our two most important cities and we have already completed two phases while you've been struggling with phase 1 for 5 years now.

The thing is Tz Government got Money, Kenya Government is broke.

Kenya's budget is double Tanzania's budget. Kenya's investment in every sector is more than Tanzania's investment in the same sector - so which government is broke? ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Other projects being implemented kwa pesa za walipakodi ni JNHEPโ€”-$3b Roads, Kigongo Busisi Bridge $300m, construction of vessels, airports, hospitals, Modern massive buildings in Dodoma etc,
The problem with Tanzanians is, you just started building recently so normal things excite you. Yani government buildings ndio unaringa nazo? Are you aware of the number of government buildings that have been built in Kenya's counties since devolution was implemented? Hivi unadhani barabara hazijengwi Kenya? Hospitals hazijengwi? Which massive building in Dodoma are you talking about? Let me give you a few government buildings we have built in the past two years alafu unionyeshe hizo 'Modern Massive Buildings' unazosema ziko Dodoma nione kama zinafikia.

Parliament Tower Nairobi


CBK Pension Tower, Nairobi


Machakos Governor's office


Project 58, Uhuru Garden Museum


Unataka niendelee? Sasa nionyeshe hizo massive government buildings za Dodoma kama zinaweza fikia hizo chache nimelist.
 
National Library yenu tunaijua vizuri. Hapa ndio raia wa kawaida kama wewe anakubaliwa kuingia a some gazeti. Maktaba Kuu Kuu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ