Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


hawa watu wapuuzi sana .. eti hizo ngazi pia wanahesabu kama floors
afu sikuwa najua hilo jengo la chini imekaa kama meli
View attachment 1990504
View attachment 1990505
 
hawa watu wapuuzi sana .. eti hizo ngazi pia wanahesabu kama floors
afu sikuwa najua hilo jengo la chini imekaa kama meli
View attachment 1990504
View attachment 1990505


Natangaza rasmi kupitia mwenyekiti [mention]ichoboy01 [/mention] viongozi wote wa juu na wajumbe wake wote kuanzia leo rasmi kwenye mpambano wa Majengo marefu DAR ES SALAAM MARITME CONTROL TOWER (DMCT) iwe pia jengo mojawapo katika orodha ya majengo marefu Katika battle yoyote.


 
tunarudia tena GTC 30 and above ziko mbili tu hata ukikasirika haitasaidiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unabishana na uchoyoboy, mdanganyika ambaye anaamini Nairobi Expressway haijajengwa sababu hakuna construction board. Huyu ni hohehahe ambaye anabishana akiwa kijijini Tandale anakunyua supu ya pweza na mtori. View attachment 1990417
hii ndio picha uliopost kama sikosei πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mm nakwambia nikiwa nauhakika nachoongea buda
 
the whole post is now meaningless kama ulipika data za uongo.. hizo lists wapelekeen bibi zenu sio humu
40 against 25. What a huge difference! That really hurts I know. Now you know who is the undisputed king of high rises in this region. Msije shindana na ndovu kunya siku nyingine, just stick to your lane
 
Na hayo majengo mengine zaidi ya 10 mliyoongopa pia ni mistake au mlikusudia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tunarudia tena GTC 30 and above ziko mbili tu hata ukikasirika haitasaidiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 1990523View attachment 1990524View attachment 1990525View attachment 1990526
Utateseka sana kijana wa Tandale. Jengeni jiji lenu kwanza ndio uje
 
hoja yako imepokelewa na imepitishwa rasmi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…