Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We don't have such thing in our country. Tafuta picha kama utaona hiz information
This here is school in Nairobi

Makina Self-Help Primary School (Nairobi)

School in Nairobi
1500 km sq of this....you have no right to diss nairobi at all...
 
Kibera Slum in Nairobi is being dissected with beautiful world class roads into smaller sections and in not time, Kibera will be a thing of the past
 
Kibera Slum in Nairobi is being dissected with beautiful world class roads into smaller sections and in not time, Kibera will be a thing of the past
Tuonesha fully kibera hio ni robo ya kibera
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nairobi has become an industrial City all over a sudden. You can see the skyline of the CBD from a distance
 
Kibera Slum in Nairobi is being dissected with beautiful world class roads into smaller sections and in not time, Kibera will be a thing of the past
wakenya ......bhana wazee wa photo shop......aisee kwa kupiga mapicha yakufanya watu waone sehemu mbaya ionekane nzuri kwa hilo nawapongeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

mnajitahidi sana kwa upande wa photoshop...ila kiuhalisia mtu akija kwenye hiyo city yenu ya nairobi ni pakawaida sana ni kuna sehemu nyingi zipo ovyo....[emoji23] [emoji23]
 
Katika makazi mabovu Nyani haoni kundule bahati yenu kidogo hamna ardhi na mlipoachiwa Au mlipovamia mmejenga mabanda ya bata . Niliona hadi mbwa kahama kaaamua alale nje.

Tatizo bongo kila mtu Ana ardhi, anajenga anavyotaka na anaweza uzia watu kibao kipande chake cha nyumba moja wakajenga nyumba tano hapo uholela hauepukiki, lakini ni bora kuliko makazi yenu duni.

Angalia Nairobi yenu haina tofauti yoyote ya Bongo .

Nairobi satellite images

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…