Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kipute cha leo ni East Africa[emoji1241][emoji1139][emoji1254] vs[emoji1093] Egypt
Afu wote tupo home grounds
  • Azam [emoji1241] vs [emoji1093]Pyramids (CAFCC)
  • Tusker [emoji1139] vs [emoji1093]Zamalek (CAFCL)
  • URA [emoji1254] vs [emoji1093] Masry (CAFCC)


 
Watu kama wewe wenye low IQ hawawezani na forums kama skyscrapercity, stick to your jamiiforums
 
What about irrigations projects, why can't you use your stupid GDP to use underground water and catch raining water during raining seasons?
sio eti kwamba tunapokea msaada wa chakula kama vile South Sudan na Somalia. Ila twainunua sababu, hela tunazo. sawa navile UAE, Saudi Arabia etc. Lakini hata ivo, maziwa na unga wa ngano tz inategemea kenya
 
Caf ratiba zao uwa zuna upendeleo flan,timu inakuaje timu zote toka egypty zinaanzia away!jamaa wapo corrupted pambavu
 
sio eti kwamba tunapokea msaada wa chakula kama vile South Sudan na Somalia. Ila twainunua sababu, hela tunazo. sawa navile UAE, Saudi Arabia etc. Lakini hata ivo, maziwa na unga ngano tz inategemea kenya View attachment 1976186
Tutegemee maziwa nyie mna ng'ombe? Tz ni nchi ya pili Africa kuwa na ng'ombe wengi, au unaongelea maziwa ya unga ambayo JPM aliyapiga ban[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwamba ngano na unga tunategemea Kenya, so Bakhressa cku hz ni mkenya? Ukiingia maduka ya Kenya yamejaza ngano na unga wa Bakhressa na bidhaa nyingine nyingi, so ni mkenya yule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • Screenshot_20211015-153540.jpg
    71.4 KB · Views: 26
  • Screenshot_20211015-153555.jpg
    17.9 KB · Views: 21
Ila production yenu wa hizo bidhaa ni kwa uchache mmno sio kama sisi. Infact 90% ya milk powder kwenye supermarkets in gulf countries inatoka kenya. Mfano ni hii hapa ninayo itumia 👇🏽
 

Attachments

  • tapatalk_1631793622600.jpg
    51.1 KB · Views: 23
  • FB_IMG_16329826279630308.jpg
    40.5 KB · Views: 23
Ila production yenu wa hizo bidhaa ni kwa uchache mmno sio kama sisi. Infact 90% ya milk powder kwenye supermarkets in gulf countries inatoka kenya
Usije ukajidanganya we mbweha, bidhaa zenu za maziwa zilizopo uku labda ni milk powder pekee, Ila kuhusu bidhaa zote za maziwa hamjawahi kutuweza, kuna viwanda vya kutosha na vinafanya vizuri AE nzima na havina mpinzani, kama unabisha tueke hili battle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…