Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnuka mavi sasa ulale na uwache upuuzi nadhani sindano zimeingia, tunaposema Tz iko mbele muwe mnaelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe hujui maana ya infrastructure nyamaza 😂😂😂, I was not a fool when I insisted that you mention any infrastructure which is in Tanzania and not in Kenya. Again never again should you talk about infrastructure when Tanzania is still behind Uganda 😂😂

 
Kwasasa sisi ndiyo the Giant hapa EA, unaweza kuona miradi tunayofanya inathamani kubwa kuliko Kenya+Uganda+Rwanda+ Burundi+Congo combined, na usisahau sehemu kubwa ya miradi zinatumika pesa za ndani.
 
Siku ikianza kujengwa nitamuomba Mungu anitoe uhai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajilisha upepo bure,vumilia yupo hadi 2030..

Matatizo ya wananchi yule dhalimu aliyamaliza achilia mbali kuyapunguza?

Basi mnavyomtajaga yule Hayawani utadhani ndio aliseti standards za uongozi,huwa nawadharau Sana.
Kwani kichaa akiwa na dharau nani ana mda nae....linchi liko hovyoo km vyoo vya stendiq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…