Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Glad to see tatu city taking off....In 3 years haters watakula matapishi yao.
 
Aibu serekali kujenga kwenye nchi yake lakin sio aibu investor kujenga kwenye nchi ya watu wengineπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Pumzika naona umechoka sana
Aibu kubwa kabsa towers nusu za dar za serikali

sent from iPhone 7
 
Pole sana najua unaumia lakin vumilia tu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naumiaje sasa kama kampuni za Kenya uap,kcb,Britam zinajenga tower nai...serikali nikuprovide conducive environment.

sent from iPhone 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…