Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jangili anayeweza mnunua yeye na jamii yake yote mara mbili mbili hata zaidi... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Toka lini mtu anaefanya shughuli za ujangili tu akawa na dollars billion 1.6? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila wakunya ninyi zero brain kweli

Yaani hata mapato yote ya KRA kwa mwezi hayafiki 1.6 usd billion ndio ije iwe kanchi ambacho hata jumla ya tembo wote hawafiki 1k kawe na jangili billionare hivyo? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Usijali, tafuta hela kwanza, ukizipata zitumie zikuzoee! 🀣 🀣 🀣 🀣 Usinililie mm
 
Oooh kumbe, ulikuwa wataka kuona Moi Juice, Moi tissue, Moi Spoons, Moi Detergent, nk??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Akili za wabongo wengi kweli hazioni future! 🀣 🀣
Sio nataka kuona, hiyo ndio business landscape ya investments zenye hiyo networth

Unataka kusema Moi ni tajiri kuliko Trump mwenye multimillionaire investments almost worldwide? Acheni kuwa nyumbu ninyi wing nuts πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kujibizana na wewe ni kazi bure... Baki na Trump wako na sisi tubaki na watoto, wajukuu na vitukuu vya Mzee Moi.... Ishaisha hiyo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Alafu mwambie Mama asibanie hela, anatutia aibu EA kwa michezo
 
Biwott nae tunaanza kumjadili saa ngapi? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nina muda!
 
Wqe
Wewe kweli ni mjinga, kwani lazima mtu azalishe bidhaa ndio akuwe tajiri?πŸ˜‚πŸ˜‚. Mark Zuckerberg anazalisha nini? Bill Gates anazalisha nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Gari anayotembelea controller wa 3+$ billion sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hii gari huku Tanzania ni za local government aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 1932417
Naona unajichanganya mwenyewe, huyo ni mtoto wa Moi mmoja tu, and we're talking about Moi's family Net worth not his sons'... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wqe

Wewe kweli ni mjinga, kwani lazima mtu azalishe bidhaa ndio akuwe tajiri?πŸ˜‚πŸ˜‚. Mark Zuckerberg anazalisha nini? Bill Gates anazalisha nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpumbavu huyo... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wqe
Wewe kweli ni mjinga, kwani lazima mtu azalishe bidhaa ndio akuwe tajiri?πŸ˜‚πŸ˜‚. Mark Zuckerberg anazalisha nini? Bill Gates anazalisha nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
watanzania wenzangu.. licha ya kwamba kuwa huyu jamaa tayar anajulikana ni muongo.. tuendelee kuzingutia kuwa kwenye maneno kumi ya mkenya ondoka na moja au usichukue kbsa lolote..
niwatakie usiku mwema.. natoka mtoko kidogo wa usiku [emoji7][emoji3]
Badala ya kulialia hapa si uniambie gani Kati ya hizo vitu nimelist siyo yakeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wqe

Wewe kweli ni mjinga, kwani lazima mtu azalishe bidhaa ndio akuwe tajiri?πŸ˜‚πŸ˜‚. Mark Zuckerberg anazalisha nini? Bill Gates anazalisha nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We nyumbu kweli, Facebook ni worlds level media mzee, Facebook, Instagram, WhatsApp za Zuckerberg ndio zinarun world's Internet business we zoba and of course smartphone technology πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zama zake Moi anapeana maziwa ya bure kwa watoto wote wa shule Kenya nzima wakati wa lunch....maziwa ya nyayo yale, sasa atoke Mo ama Mh Samia aige hivyo nitoke JF, wafilisike hawa na kujigamba kwote! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Naona unajichanganya mwenyewe, huyo ni mtoto wa Moi mmoja tu, and we're talking about Moi's family Net worth not his sons'... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hao wengine wanajishughulisha na nini? Kama bro wao ndio anapambana na hiyo hali? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mpumbavu huyo... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
I'm not suprised to see that kind of reasoning from a Tanzanian, they usually use 1% of their brainπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Yeye kwa akili yake anaamini mtu haezikuwa tajiri Kama hakuna kitu anazalishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…