The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Watasema ni Euro Truck Simulator 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa expressway, yn wewe kuanzia asubuhi mpaka ucku mradi ni huo huo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni tamu walai,, Nairobi will not be the same again[emoji7][emoji7]
View attachment 1921782
View attachment 1921783
View attachment 1921784
View attachment 1921785
View attachment 1921786
Wakenya wenye elimu kidogo wote wamesoma arts hakuna science ndio maana wezi, Kenya elimu ni kujua kingereza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mjinga mmoja nilibishana nae sana kuwa Elimu ya Kenya inamapungufu ndio waana hawana Mainjinia wengi kama Tanzania, na hao wachache hawana ubora kutokana na mfumo wao Elimu, pia wana maeneo machache ya kujifunzia kwa vitendo.
Hili Jengo lililobomoka ndio kwanza linajengwa, na ukiangalia Mazingira hakuna hata taratibu za kiusalama wala Kinjinia zimefatwa, angalia, mbao, madirisha na hata wavu kwa ajili ya usalama ulivowekwa.
Tanzania huwezi kukuta upuuzi na utani kama huu...
Kunyaland ukiongea kiingereza tu ushakua msomiKuna mjinga mmoja nilibishana nae sana kuwa Elimu ya Kenya inamapungufu ndio waana hawana Mainjinia wengi kama Tanzania, na hao wachache hawana ubora kutokana na mfumo wao Elimu, pia wana maeneo machache ya kujifunzia kwa vitendo.
Hili Jengo lililobomoka ndio kwanza linajengwa, na ukiangalia Mazingira hakuna hata taratibu za kiusalama wala Kinjinia zimefatwa, angalia, mbao, madirisha na hata wavu kwa ajili ya usalama ulivowekwa.
Tanzania huwezi kukuta upuuzi na utani kama huu...
Shoddy works typical ya jirani
Tushazoea mbn haipiti mwezi bila scraper kuanguka, yn lazima utasikia ghorofa la udongo limeanguka au dege la 70s limeanguka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mna roho mbaya, kuna scraper imeanguka Kenya na hamsemi[emoji57]
bandugu mnapashikilia cbd tu kuna kawe,morocco,mikocheni,ilala,upanga mbn kote kumeendelea na hanpapost muwaoneshe nyangau hawa?[emoji23][emoji23]magofu
hawa jamaa tokea mda nishawaona ni janja janja.. hawaishi uhalisia wa gdp yao na wako chini ya standard maeneo mengi
Victoria Dar es Salaambandugu mnapashikilia cbd tu kuna kawe,morocco,mikocheni,ilala,upanga mbn kote kumeendelea na hanpapost muwaoneshe nyangau hawa?
ZamamiVictoria Dar es Salaam View attachment 1922733
Ili ***** kwenye huu uzi wa wanaume katokea wapi hapa atutaki mambo ya kimama mama hayo mwachie samiaAchana na mataga watu wa Mwendazake hao ni kuwapuuza tuu kama chadema walivyopuuzwa,Kazi iendelee.
Estate hiyo in Kunyan arrogant voiceHawa watu wana upumbavu wa kutisha sana, yn ghorofa lipo upande na bado utakuta kiongozi anaenda kuzindua lakini pia utakuta wananchi wanakatiza pembeni ya jengo kama hili [emoji116][emoji116]View attachment 1922673
Naona wapumbavu wawili mnagombana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha upumbavu wewe,Kwa Nchi za kiafrika Muelekeo wa Rais ndio ndio ushawishi wa wawekezaji,sasa kenge kama wewe unaweza tangaza utalii kwa ushawishi gani ulionao?
Saizi Rais Samia yuko top 5 ya most influential African Women sasa watu watapay attention kwake au kwa Zuchu au wewe?
Kukaa Chamwino ndio kunaleta pesa na maendeleo? Yule Aliyekuwa anazunguka na maconyoy na misururu ya magari mara Chato mara Dom mara Dar alileta nini cha maana zaidi ya kuua Uchumi?