Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nazungumzia Taarifa ya 2021 unazungumzia Taarifa ya 2019,
I didn't know I was arguing with a toddler πŸ˜‚πŸ˜‚, taarifa za 2021 zitatoka 2022. Taarifa zenye ziko right now Ni za 2020 where northern corridor did 33M tonnes against 16M tonnes ya Central corridor πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa naomba tuanze kulinganisha Kwa vitendo

Hii ni taasisi ya Moyo ya Kikwete

Tafuta Taasisi kama hii Kenya Nzima, na kwenye mipango yenu ya miaka 10 ijayo
 
Shida ya watanzania wengi ni kuwa mnasikiliza umbeya sana, that hospital is not even in the top 100 hospitals in Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Pitia hii link utapata hospitali nyingi za Kenya.

 
Hii Taarifa yako imuicopy nusu,
 
Wewe ni fala kwamba huo ni mradi wa mkopo? Una akili timamu au unatetea tuu mumeo? Leta hapa financing structures ya mradi badala ya kuropoka tuu hapa.
 
Endelea kushanga sababu una akili mafii
Umenijibu zile rekodi alizovunja mama kwa miezi 6 au unatafuta kichaka hapa? Onyesha wapi Mumewenu alijenga vituo vya afya 220 kwa mwaka?

Hujajibu kwa nini mwendazake aliharibu biashara za Mazao za wakulima kwa Mazao niliyokutajia hapo awali na mama kaingia bei zina trend hadi raha?

Wajinga kama nyie mna shida sana mara pesa hakuna mara sijui nn saizi chadomo kawarithi wajane,huku mapato ya bandari yanazidi kuongezeka.
 
Mataifa yenye ushawishi Africa kwenye entertainment naona ni

Tanzania
Nigeria
SA
Ghana

Hakuna mahali slum dwellers hata mmoja katajwa hapa πŸ˜…πŸ˜…

 
Ila tunavyoenda tunahitaji at least 7 Dreamliners maana mbali na Guangzhou, Thailand na Mumbai, kuna route ya london in planing! Sasa zikianza daily routes kwa kila destination zinahitajika mbili ukiacha a standby plane!
yeah of course as time goes we need more...its not a profitable business ila ndo maji tushayavulia nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…