Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kulipa kodi ni wajibu mzee kwa ajili ya kuwa huru huwezi kutegemea wahisani kila siku, wahisani wenyewe wanatoza hizo kodi kwao kutupa mikopo! Ukiwabana sana wawekezaji unaongezaje ajira sasa? Na nani kakuambia matozo kwao yatatosha? Na unawezaje ku-compete katika kuvutia wawekezaji na kodi kubwa kwao? Mimi namshauri mama aache expenses zisizo na tija kubeba kundi wakati anazungumzia kujenga mahospitali na anatoza zaidi kodi si akili! Anapaswa aonekane akibana matumizi pia!
Analalamika kama mrembo, alafu jamaa anatokea humu, kwahiyo alikuwa hajui kama Nairobi chafu mpk alipoona humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni tunnel ya electrical sgr usifananishe na tunnels za hovyo hapo inakaa mitambo ya umeme acha ushambaAngalia finishing, why cant africans do something right even once.[emoji116][emoji116]View attachment 1905956
Tunnel kama ya Kenyan SGR same technology since 70sKmmke flying coffin hii[emoji3545][emoji23][emoji23]View attachment 1905994
What is electrical sgr, unajua maana ya sgr wewe kweli😂😂😂Hiyo ni tunnel ya electrical sgr usifananishe na tunnels za hovyo hapo inakaa mitambo ya umeme acha ushamba
Sgr rail powered by electricity. Una lingine?What is electrical sgr, unajua maana ya sgr wewe kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Tofauti za SGR zipo nyingi tuuSgr ni sgr mambo ya electrical tupa kuleeee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji90]
Wewe ni clown🤡🤡🤡, what is sgr rail???? 😂😂😂 trains use elecricity not rail track, dafuqSgr rail powered by electricity. Una lingine?
Define the word sgr, hapo ndo unatatizo😂Tofauti za SGR zipo nyingi tuu
Rail: jointed vs continous
welded rail
Power Source: Diesel vs Electrical
Supporting facilities: Diesel and water refueling tanks vs electricity sub stations
Huwezi ukasema SGR ni SGR kwa hizo facts hapo juu ukitaka nilete facts nyingine zaidi ya hizo bisha.
Mambo ya electric sgr hutayaelewa kamwe maana hujayaona physically ficha ujinga wako.Wewe ni clown[emoji1782][emoji1782][emoji1782], what is sgr rail???? [emoji23][emoji23][emoji23] trains use elecricity not rail track, dafuq
umesahau every SGR station Tanzania zina cargo and PAX terminals wakati Kunyaland zina PAX tu!Tofauti za SGR zipo nyingi tuu
Rail: jointed vs continous
welded rail
Power Source: Diesel vs Electrical
Supporting facilities: Diesel and water refueling tanks vs electricity sub stations
Huwezi ukasema SGR ni SGR kwa hizo facts hapo juu ukitaka nilete facts nyingine zaidi ya hizo bisha.
Kwani route shifting inatumia mavi ya kibera!!!!Wewe ni clown[emoji1782][emoji1782][emoji1782], what is sgr rail???? [emoji23][emoji23][emoji23] trains use elecricity not rail track, dafuq
inaonyesha SGR Kunyaland inaenda kuwa 20 years from now! Yaani mmetukopi kila kitu hata aibu hamna!Hii kitu ina tetenus bana😱😱View attachment 1906069
Kabla sija define what is sgr tell me what is the source of power in your sgr?Define the word sgr, hapo ndo unatatizo[emoji23]
Halafu wanapata ujasiri wa kukosoa electrical SGR Tanzania!Tunnel kama ya Kenyan SGR same technology since 70s
Track electromagnetism, trains diesel engines. Now what is sgrKabla sija define what is sgr tell me what is the source of power in your sgr?