Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Punguza kutumia miraa mzee nend kafanye research vizuri ndio uje ubwabwaje
 
The only fool that i know in this forum is bwana mipesa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji36][emoji1787][emoji1787]
Ivi huo uchafu unataka kulinganisha na Nyerere[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji36] mda wote ulikuwa unatafuta pakujifichia[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Ukisikia ucgafu ndio huo sasa...[emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya bila data wanakuingiza chaka
 
Wakenya wenzako wameogopa hata kukupa like mana jana waliyaona vzr hayo makuta ya Babeli wakachanganyikiwa mpk leo hawaelewi kama ndio Tz waliyoambiwa na bibi zao au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shida ni kwamba wewe huwa bandle linakusumbua sana, hukuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaelewa maana ya dam kweli, mbn unaleta picha za mitaro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hata kusoma pia hujui[emoji23][emoji23][emoji23], from the article imeandikwa GOK will finance the $600M while Adfb will only give $200M.
Miradi yote uliyoweka hapa plus na miradi mingine ya EA kuhusu dams haifiki thamani ya JNHPP, ngoma $3bn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni wajinga Sana Hawa, they think they are the only people constructing dams[emoji23][emoji23]. Wakati hao wanajenga moja, huku Kenya tunaskuma sita at a go[emoji23][emoji23][emoji23]
Ichoboy anasema chukua moja kati ya maneno 10 ya mkenya zen nenda zako, mm nakwambia hata hilo usichukue kabla ya kuliingiza Google search [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…