Aaah inakaa we have alot till we forget posting lemmie look for the longest I send you kama hiyo imekutisha basi be ready to faint 😊Haka kadaraja ndo Longest facility in Kunyaland!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🙆♂️ 🤷♂️ 🤷♂️
Ama anitafute nimzungushe mitaa yetu uptown aje aambie wengine storykwani ulimpeleka wewe
Hivi wewe kwa mawazo yako nakaa wapi?Ama anitafute nimzungushe mitaa yetu uptown aje aambie wengine story
🤣🤣🤣🤣🤣Noma SanaMkuu wewe ni mtu muhimu sana Jitahidi wasije kukuandalia lile jeshi la gundi likakudhuru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
jiji la kibabe ni reality mwanzo mwisho ,,,ukienda kule kwa jirani ni make up na lipstick
sasa unataka umtafute mtu ambaye anaijua nairobi karibia nzima ,unataka umtembeze mtu ambaye anajua chochoro zote za nairobi,,[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji1787][emoji1787]Ama anitafute nimzungushe mitaa yetu uptown aje aambie wengine story
huo uchafu nao hadi make up imekataa road imekaa udongo udongo vumbi la Congo hapo sasa tukija kwa jicho la live ,foot by foot mwendo ni ule ule vumbi la Congo,,View attachment 1888358Githurai 45 inafaa kuwa low end area but looking dope
hata hajui anadhani kuwa wewe ni mgeni wa nairobi,,,Hivi wewe kwa mawazo yako nakaa wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namshangaa huyu mwamba 🤣🤣🤣🤣🤣sasa unataka umtafute mtu ambaye anaijua nairobi karibia nzima ,unataka umtembeze mtu ambaye anajua chochoro zote za nairobi,,[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji1787][emoji1787]
tafuta kazi ya kufanya kama huna kazi kachukue ndugu zako walio villages ambao hawajawahi kufika nairobi ndiyo uwatembeze
Huyu mwamba anataka kunifunza Nairobi 🤣🤣🤣hata hajui anadhani kuwa wewe ni mgenu wa nairobi,,,
endelea kuwaenjoy
jobless huyo mwambie akawachukue ndigu zake bush ndiyo awalingie kwenye huo msitu wa nyuki na kengeHuyu mwamba anataka kunifunza Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mtaani kabisaa, sehemu regarded as low life area pako nafuu sana kuliko sehemu BRT inapitia in TZ.., Githurai 45 a low end.., outskirts kabisaa 😂 😂 😂 inaweza toa kamasi sehemu za CBD yenyu,,,.,huo uchafu nao hadi make up imekataa road imekaa udongo udongo vumbi la Congo hapo sasa tukija kwa jicho la live ,foot by foot mwendo ni ule ule vumbi la Congo,,
hapo hamna kitu msee,,mtatamba kwa make up picha ila in reality nothing
View attachment 1888358Githurai 45 inafaa kuwa low end area but looking dope
From the angle of picture taken and the time and day mentioned mahali thika roadHivi wewe kwa mawazo yako nakaa wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣
Ila tumshukuru mungu kwa neema ya kuzaliwa Tanzania!jobless huyo mwambie akawachukue ndigu zake bush ndiyo awalingie kwenye huo msitu wa nyuki na kenge
Another 500b usd investment 🇹🇿🇹🇿🇹🇿kiwanda cha mbolea by Dangote Mtwara
In nairobi you will never get a taste of all angles there is always a diffrent angle depending on who you spend the day withsasa unataka umtafute mtu ambaye anaijua nairobi karibia nzima ,unataka umtembeze mtu ambaye anajua chochoro zote za nairobi,,[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji1787][emoji1787]
tafuta kazi ya kufanya kama huna kazi kachukue ndugu zako walio villages ambao hawajawahi kufika nairobi ndiyo uwatembeze
Hiyo picha ni ya globe cinema,wala sio ya thika road!From the angle of picture taken and the time and day mentioned mahali thika road
Mimi si jobless mtume mwenzenu aangalie the kind of businesses I have labda hata naeza mpa kazi 🤣🤣🤣jobless huyo mwambie akawachukue ndigu zake bush ndiyo awalingie kwenye huo msitu wa nyuki na kenge