Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oyaa Acha blabla nyingi ukipata DSM au Tanzania nzima kuna Hali Kama hii unitagπŸ˜€
Hii ndo poverty πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1887982
Noma sana mkuu, watu wapo dunia tofauti ndani ya eneo moja. angalia waliotoka nyumbani pamoja na kuwa wametembea kwenye vumbi miguu bado misafi, na wamezingatia mambo ya afya, mwangalie aliye kwenye dunia yake anapiga kiburudisho sijui ni petrol hiyo au Energy drink, na sijui waliwahi jimwagia maji lini, kuna jamaa kulia ana layer mbili zinaonekana na nadhani ni baridi lakini hizo laye sidhani kama ziliwahi kutana na maji. Hiyo location setting yenyewe tu pamoja na vumbi, kutakua na kauvundo cha hilo pile la takataka hapo ni noma.
Nchi yetu kila moja na urefu wa kamba yake.
 

Katika kaeneo hako, kuna wale walio jehanamu (waliokaa) na ambao wako duniani (waliosimama). Ni shida sana.
 
Yaani brother kuna mda unatembea unaangalia maisha ya wenzetu unashangaa SanaπŸ™„
The gap between rich and poor kubwa πŸ˜”
Kuna masela ratiba ya kula hata mlo moja hawana especially Nairobi.
Kwetu hatuko perfect lakin utakunywa azam ukwaju bila usumbufu wowote tofauti na Nairobi kutembea umebeba hata maji ni Noma.
 
Siyo energy drinks mkuu...hapo anavuta gundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…