babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,453
- 36,096
Yeye amepost current situation ya Nairobi halafu wewe unapost picha za kitambo...huoni kuwa hatufanani hata kidogo?Na hizi za Dar mbona hamtakingi kuzipost?
View attachment 1886517View attachment 1886518View attachment 1886519
View attachment 1886520
We siunajua ku Google fanya ya kwako😀CBD iko wapi[emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa hawana habar na Mambo ya tz 🤣🤣🤣Yeye amepost current situation ya Nairobi halafu wewe unapost picha za kitambo...huoni kuwa hatufanani hata kidogo?
Kuna mmoja alikujaga Dar kwa dada yake alikosa sehemu chafu Dar ikambidi akapige picha jalala [emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa hawana habar na Mambo ya tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tupo kwa ground nao waje DSM au mkoa wowote ule[emoji2]
Umepanic mzee baba 😆😆😆 umeanza kuokota picha za google sasaNa hizi za Dar mbona hamtakingi kuzipost?
View attachment 1886517View attachment 1886518View attachment 1886519
View attachment 1886520
alikuja kwa shemeji yake kupitia mgongo wa dada yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mmoja alikujaga Dar kwa dada yake alikosa sehemu chafu Dar ikambidi akapige picha jalala [emoji23][emoji23][emoji23]
Dar ilimvutia hadi akaweka maghorofa ya Dar Es Salaam kama profile picture yake ya fb [emoji23][emoji23][emoji23]alikuja kwa shemeji yake kupitia mgongo wa dada yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyo itakuwa ndiyo wale wale wakuomba sponser
Wapo wengi huaga wanakuja wanashangaa Tanzania kwa usafi tuko vizuri 👏👏👏Kuna mmoja alikujaga Dar kwa dada yake alikosa sehemu chafu Dar ikambidi akapige picha jalala [emoji23][emoji23][emoji23]
Continue menstruating with Kenyan politics while living under a maguFOOLi made dictatorshipI see mungiki getting back in conjunction with Kiambu mafia and Incompetent Police killing thousands of you if Gikuyu will deliberately dare to harm William Lootal.
Alaa kumbe za nyuma ya CBD sikujua embu atuwekee za mbele ya CBD sasaMwenzako kapost picha za kw nyuma alafu taka zilizotupwa na watu wenye hawajali basi umekuja kujichekesha
What about debt to GDP ratio kenya 86% 😆kenya alone 106 $B.
tanzania + uganda (65+41)= 106 $B..
NB: a difference of 41 $B sio mchezo babake, hio ni sawa na nchi mzima lenye ushawishi
hapo huyo ndunguli anaomba sponser ili apigwe mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]