Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu kama outside picadilly circus it's either picadilly circus or not taja sehemu kama huwezi usaidiwe
Wewe tunabishania nini? Hapo ni nje ya picadilly arcade, na hio street inaitwa picadilly. Unataka kutuonyesha unajua london ama.
 
Hivi unafikiria kamati kuu nec wakiita Wabunge wao wa CCM na kuwalazimisha kupitisha mswada wa kodi watakataa? Hamna political will hapo kwa vile sidhani kama Wabunge wa CCm wana nguvu kuliko chama!

mama anavyotafuta pesa hili swala litakuja.. wabunge watakatwa kodi .. kwanza kujadiliwa kwake ni kama initiative flan hiv ili hilo jambo lifanyike
 
Ila hii nchi ni ya kishetani sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1876223View attachment 1876225
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni.echk sanaa
 
Ni kawaida hiyo mbona,angalia mchanganuo wa deni la Taifa na hotuba ya bajeti ya Tzn utaona kwamba Serikali kukopa kwa ajili ya ku service madeni sio jambo jipya
Hvi ww unajua over 50% ya budget ya kenya ni kulipa madeni?? Je unajua robo nzima ya budget inaenda kulipa mishahara 😆😆😆
 
Na ukitumia hizi fikra zako utasemaje kuhusu Tanzania? bro si basi mko ovyo zaidi ya Kenya mara mia?, mko way below, kumbe haujiangalii.., madeni yenyu ya nje ni kubwa sana kuliko internal debt zaidi ya mara mbili!! Yaani external debt yenyu ni 71% na ya ndani ni 28%., nchi imehara 😂 😂 😂 😂 😂 soma this excerpt from your newspaper during budget;

"...Finance minister Nchemba told Parliament last week that the Tanzania government’s debt stood at about Sh61 trillion as of April 2021 – constituting Sh43.7 trillion in external debt, and Sh17.3 trillion in domestic debt..." The Citizen Monday, June 14, 2021.

sasa google ujionee ya Kenya., 51% external.., nikisema Tanzania ni taifa fukara mnasema nawadharau ila mimi naongea ukweli tu..,
 
External Debt most from world bank with low intrest and very long grace periods
 
Taifa linalipa madeni., hapo sawa.., sio kulia lia kusamehewa., na ndege kushikwa na mkulima 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…