Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JNIA is a white elephant [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]. Huku JKIA we mean businesses [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1867565View attachment 1867566
Kwenye hizo ndege 5 hakuna hata moja ya Kenya zote za wenyewe, Kenya ina ndege 3 chakavu unabisha nikuletee ushahidi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
utopolo sie wala hatunawasiwasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lile goli tunalirudisha leoleo tena tutawaongezea na mawili ya zawadi


if u know what I mean [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Sabbaticle, a neutral and non bias american from new york, and who has stayed in dar for a sustained period of time, had this take, when he first landed in nairobi..
'that nairobi feels richer than dar',..
'that nairobi has this big city feel',..
'that the roads and infrastructure in nairobi is just out of this world'...
he also happen to have resided in kilimani and had to admit the beauty and the affluence kilimani has..
hebu watz wa yatafakari hayo🤔
 
Acha kulinganisha Mombasa na hiyo takataka ya Zanzibar. Are you aware that Mombasa passengers traffic is way better than ya Zanzibar.
 
Vitu vingine havihitaji ubishi...JNIA Kwa facility inawazidi...mnaweza mkawa vizuri kwenye services na good no of pax, sasa tatizo lako nn kuelewa Apo?
Facilities gani hizo unaongelea? There are facilities zenye ziko JKIA that are not available in JNIA but hakuna facilities zenye JNIA alafu ikosekane JKIA.
 
Kwahyo uku kwetu ni nn

Hiyo Municipality ni Jiji lenye power sawa na Jimbo, yaani Ni jimbo na ni City na linakua controlled moja kwa moja na Central Government of the People’s Republic. Tianjin ipo Katika Jimbo la Hebei lakini haihesabiwi ni Jiji ndani ya Jimbo hilo.

Majiji mengine yenye hadhi hiyo ni Beijing, Shanghai na Chongqing.
Hii ni highest level ya ku classify majiji Nchini Jamhuri ya watu wa China.
BTW ki county kule ambacho ni kamji cha kijiji flani kinazaba takataka zote za East Africa[emoji1787]

Sio kwa miundombinu wala maisha. Hizi Villa na Nyumba kazi tunaziona huku za wadosi kule zingine zipo kijijini kwa walima vitunguu.
 
Na hio tunabanana very soon angalia jinsi new airlines nyingi zinavyoanza kuja airports za Tanzania! Huku Air Tanzania ikienda kuongeza ndege zake mpaka 19 in the next 2 years! Hii corona imeharibu mambo lakini ni kila mahali duniani!
Tanzanians always have big dreams that they can't achieve 😂🤣🤣, how do you expect Tanzania to overtake Kenya in aviation when all your airports can't even serve 3M passengers annually 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…