Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naskia Watanzania wanateta Sana kuhusu BRT ya Tanzania Sana,eti walijenga bila mpango mpaka inasababisha Foleni kwasababu Daladala hazina mahali pa kupakia watu,Na bado mnaendelea kufanya same mistake again,Barabara Zenu hazina lanes Nyingi na lane Lane moja inasababisha kufa Sababu ya daladala
 
Vitu vingine havihitaji ubishi...JNIA Kwa facility inawazidi...mnaweza mkawa vizuri kwenye services na good no of pax, sasa tatizo lako nn kuelewa Apo?
Wawe vizuri kwenye service wakati umesema facilities hawana?
 
watanzania wepi hao mataahira wa Kibera sio? Maana serikali ishasema daladala mwisho wake BRT phase 6! Hamna Mtanzania mwenye akili timamu anaweza kusema BRT inasababisha foleni wakati anaona ujenzi wake unaambatana na flyovers kila intersection! Lazma watakuwa Wakunya wa Githurai! wacha kujazwa mavi mdomoni!
 
Heri Ivo ata umetaja Mavi🙈na pia wamesema Mwendokasi yenu Ni Mavi kabisa kwanza ya kichina,zinachomeka ata zikiwa mpya na ata wengine wamelaumu serikali yenu kuongeza kununua zengine70 zilezile za kimavi,alafu wanasema intension ya serikali yenu ilikuwa kuondoa madaladala Lakini haiwezekani🙈
 
Alafu Askari wenu Wamefika wapi Kuteka nyara Kanisa la katoliki Mbeya🙈Yani wanapiga ata askofu na waumini wake mateke alaa alaa alaah🤐Huo ni kukosa kuheshimu Kanisa😬 Eti waumini walikuwa Wana Chadema alafu walikuwa wanataka kumwombea sijui Mbowe alafu wakafanye Maandamano,Udictator Uchwara umerudi🤮🤮🤮
 
150 passengers landed in mombasa.BALALA ON TWITTER!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…