Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A true 3 levels interchange in Kano Nigeria!

CC: all @Wakunya
4th frame inafanana pangani interchange ile hua umepinga. Tanzania mzima ina interchange mbili na unaongea mambo ya interchange. Express itakua na hizo 3 tier mingi.
 
2019 Revenue numbers (passenger & Freight)
Ethiopia Electric 40 million dollars
Kenya Diesel 126 million dollars.
Tanzania Electric 0 million dollar.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mnanunua diesel ambayo mnaagiza nnje ,ukija bongo tutatumia umeme wetu kwa matumizi ya uendeshaji trains..

nani bora zaidi hapo..?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mnanunua diesel ambayo mnaagiza nnje ,ukija bongo tutatumia umeme wetu kwa matumizi ya uendeshaji trains..

nani bora zaidi hapo..?
Usisahau na deni la mchina ambalo halilipiki mpk target ya mchina ifanikiwe, Mombasa port [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mnanunua diesel ambayo mnaagiza nnje ,ukija bongo tutatumia umeme wetu kwa matumizi ya uendeshaji trains..

nani bora zaidi hapo..?
Revenue ndo muhimu kwa biashara. Ethiopia tunawashinda na times 3 revenue na reli inafika Djibouti. Nyinyi yenu itakua times 10. Morogoro hakuna kazi ya freight LA muhimu, munategemea passenger trains na haina pesa mingi hio.
 
Tz ni nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliiumba kimkakati, imezungukwa na nchi 8, ni uzembe wa viongozi tuliokuwa nao miaka ya nyuma kushindwa kuifanya hii nchi kuwa developed na ndiyo maana miaka michache baada ya kuongozwa Magufuli ikaanza kufanya projects kubwa kubwa kwa pesa za ndani.

Hivyo usitegemee ur failed SGR kuizidi Central corridor kwa mapato never.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbwa mwingine anasema bila aibu, tena anabana pua kabisa "Kenya hatuna madaraja" sasa unataka mm ndo nikujengee, we fala nn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ole wenu,vifaru mliwinda mkawamaliza,Ukosefu wa utu na maadhili mema!😭🙄😤😠😡Tz,nchi nzima vifaru ni 190,samahani! very sad 😢!?
 
I've never seen more delusional people than Tanzanians on this forum - especially this thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…