The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Umetumwa kuja kuharibu mada ya SGR, ila ngj nikujibu, ni kwamba City mall cyo mlimani city, hiyo mlimani city ni mbali kabisa na posta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutoka City mall hadi TPA kwa bahari ni kilometer moja tu. Very small city this one. Ukiingia umetoka.
View attachment 1856715
View attachment 1856716
Hawaitaki hii mada mkuu ila cc tuwapige tu hakuna jinsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kunyaland nimekuja tunaongelea SGR. Leo nataka kuua nyoka zote.
Tanzania SGR shall have direct connection to:-Hawaitaki hii mada mkuu ila cc tuwapige tu hakuna jinsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya locomotives speed. PwahahahahaKutoka City mall hadi TPA kwa bahari ni kilometer moja tu. Very small city this one. Ukiingia umetoka.
View attachment 1856715
View attachment 1856716
Kenya SGR speed 🤣 🤣🤣Kutoka City mall hadi TPA kwa bahari ni kilometer moja tu. Very small city this one. Ukiingia umetoka.
View attachment 1856715
View attachment 1856716
Mtawauwa hawa watu, wapeni holiday kdg [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumekucha [emoji91]
June 2021 Progress Video: Dar - Moro
Ni wapi umeona milimani city? SGR yenu ikianza kutumika leta mjadala. Hatuwezi kujadili kitu bado iko under construction ambayo haijasafirisha kitu, hata mende bado. Productivity ndo muhimu, hata Ethiopia wakona electric lakini our revenue numbers ziko juu zaidi compared to their fancy electric railway. Yenu ikianza kazi mtajoin mjadala tupime numbers.Umetumwa kuja kuharibu mada ya SGR, ila ngj nikujibu, ni kwamba City mall cyo mlimani city, hiyo mlimani city ni mbali kabisa na posta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I can feel ur pain, pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni wapi umeona milimani city? SGR yenu ikianza kutumika leta mjadala. Hatuwezi kujadili kitu bado iko under construction ambayo haijasafirisha kitu, hata mende bado. Productivity ndo muhimu, hata Ethiopia wakona electric lakini our revenue numbers ziko juu zaidi compared to their fancy electric railway. Yenu ikianza kazi mtajoin mjadala tupime numbers.
Kwa statistics za lini? Ethiopia wameshawaacha mbali in all levels hata gdp wapo juu yenuNi wapi umeona milimani city? SGR yenu ikianza kutumika leta mjadala. Hatuwezi kujadili kitu bado iko under construction ambayo haijasafirisha kitu, hata mende bado. Productivity ndo muhimu, hata Ethiopia wakona electric lakini our revenue numbers ziko juu zaidi compared to their fancy electric railway. Yenu ikianza kazi mtajoin mjadala tupime numbers.
Kwisha habari. Ethiopia imetoka wapi Mzee.Ni wapi umeona milimani city? SGR yenu ikianza kutumika leta mjadala. Hatuwezi kujadili kitu bado iko under construction ambayo haijasafirisha kitu, hata mende bado. Productivity ndo muhimu, hata Ethiopia wakona electric lakini our revenue numbers ziko juu zaidi compared to their fancy electric railway. Yenu ikianza kazi mtajoin mjadala tupime numbers.
2019 Revenue numbers (passenger & Freight)I can feel ur pain, pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kuota mchana.Kwa statistics za lini? Ethiopia wameshawaacha mbali in all levels hata gdp wapo juu yenu
Yenu imeanza kazi?Kwisha habari. Ethiopia imetoka wapi Mzee.
Tujadili SGR ya kenya sasa. Vipi nani aliwashauri kuwa na cargo train speed yake ni 80km/h!?