Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama umeshindwa na hii battle sepa Mzee. Nakuheshimu. Sawa Mzee.

Sasa tatizo lako ni nini hasa Mzee!? Kwani hayo maeneo hayapo Tanzania!? Mbona unajiaibisha Mzee. Mara ngapi tumeweka mwanza, Zanzibar, Iringa nk!? Mzee umekula bangi au!?
 
Sasa tatizo lako ni nini hasa Mzee!? Kwani hayo maeneo hayapo Tanzania!? Mbona unajiaibisha Mzee. Mara ngapi tumeweka mwanza, Zanzibar, Iringa nk!? Mzee umekula bangi au!?
Sasa wewe mbona umepaweka katika battle ya DSM
 
Airport ya runway ya 3 kilometers. You are joking.
Do you understand that sea level affects runway ...Ndo maana KIA ina 3.6km na Mwanza 3.4km while Dar ni 3km...Kwa level ambayo JNIA ipo 3km is enough....

Hio comparison ni sawa na kusema Tanzania has many Bridges than Kenya...while the fact is known Tz is bigger and has many rivers

Sikujua kama wewe ni mshamba kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…