Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahio southern bypass huitaki sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .
 
Hayo matundu ya panya hapo chini ndio interchange?
Umeona anajibu hoja kuhusu interchange ama Mombasa road kukua dual carriage way?.., ona ulivyo fala siku zote, kazi ni kudandia train kwa mbele, hujui litokako na liendako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Failed state Kunyaland

Electricity juu
Petrol juuu
Maji juuu

Na vyote hivyo majority of you don't have access to, mikopo ya Mzungu itazaa na nyie πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Watanzania wengi ni vichaa. Mambo ya electricity usijaribu hata kuongelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kama kawa kama dawa, naipori-slums-everywhere haina chochote bila other peripheral shitholes 🀣🀣🀣🀣

Naipori is full of slums yote to the extent haina chochote cha kuonesha bila misaada ya counties majirani 🀣🀣🀣

Dar versus Kunyaland indeed

Zote ulizoweka hazipo naipori-slums-everywhere

 
Kwahio southern bypass huitaki sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .
Nakuuliza maswali ya msingi unajichekesha.? We ni tahira la wapi.? Umekula kwanza isije ikawa nabishana na watu ambao hawana uhakika wa kula, bando umenunua au ni free wi-fi.?
 
Tazara is not an interchange you idiot. Your exposure is wanting.
 
Umeona anajibu hoja kuhusu interchange ama Mombasa road kukua dual carriage way?.., ona ulivyo fala siku zote, kazi ni kudandia train kwa mbele, hujui litokako na liendako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ninyi si ndio husema hiyo ni interchange au leo unaikana? 🀣🀣🀣🀣
 
So unataka estates within Nairobi kabisaaa., weka niweke uone ukiishiwa pumzi.., na ukitaka weka miji around Dar tuone estates zao, najua ata Mwanza ama Arusha haviwezi karibia.., so kelele peleka mbali.., Tanzania ni fukara..,

Weka estates Dar vs Nairobi, ambayo tuliwalambisha sakafu.., then weka estates miji surrounding Dar.. tuone.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa hiyo ramani inaonesha interchange!?
Roundabouts mnaita interchange. Ama kweli wakunya wamechanganyikiwa.
Kweli huna akiliπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£, hii picha inakaa ya barabara kwako?


 
Miundombinu hautaki tena, Mnataka estates, Kenyans bhana πŸ˜‚ πŸ˜‚ .. NB: Ili muweze kushindana na Dar lazima muhusishe mji zaidi ya mmoja
 
Machakos is not Nairobi Mzee. Au umeanza kuweweseka 🀣 🀣🀣
Sasa hiyo dual carriage way section ya mombasa road imeanzia wapi hadi wapi kilaza? ama hauna uwezo wa kuelewa kilicho andikwa, na nimetumia lugha ya wazembe., na bado haupati picha!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…