Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,217
- 35,613
Unajisumbua bure kijana huo upuzi utajijibu mwenyewe. Ukijiskia kupiga battle ya maana kama real estate nishtue.
Huyo jamaa akili zake anazijua mwenyewe,humu hamna anayemquote,mpotezee tusame time wanategemea chakula cha kuimport vitunguu, ndizi, mahindi, mchele kutoka kwa small scale farmers wa Tanzania. hapo nashindwa kukuelewa hapo wameadvance kuelekea positive au negative side in terms of crops production s
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda mwalimu wa Ukabila!
Nashangaa anavyojisumbua kumjibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo jamaa akili zake anazijua mwenyewe,humu hamna anayemquote,mpotezee tu
Alisoma hadi akaenda masomo ya juu london
MY TAKE
Ati naomba kuuliza Kenyatta Snr alikuwa mwalimu wa wapi? Mi najua hakuwa hata na diploma! sasa alifundisha kwa qualifications zipi hizo?
Endelea ku believeI believe Kenya kit is the best at the Olympics it's really outstanding especially the ladies kitsView attachment 1848645
Kwani hayo matamshi hayakufurahishi?Endelea ku believe
Ni matamshi ya kitoto. Yaani the whole world unadhani Kenya kit ndiyo best. Childish thinking.Kwani hayo matamshi hayakufurahishi?
Machinga complex ya Dar ipo vizuri zaidi.Gani kama Nairobi!View attachment 1848653
The picture is there you can pick your pick as dor me yea in the whole world the Kenya kit was my genuine pickNi matamshi ya kitoto. Yaani the whole world unadhani Kenya kit ndiyo best. Childish thinking.
Gani kama Nairobi!View attachment 1848653
Sio vizuri kila kitu kiwe ni mashindano. Machinga complex hata Sarit Center iliyojengwa miaka ya 70s ni bora kwake.Machinga complex ya Dar ipo vizuri zaidi.
Wasomali wenyewe wanasemaje[emoji1787][emoji1787]Watanzania wanamiliki nyumba zao wenyewe, hatulipii kodi kwa wasomali, wasudan na wachina kama ninyi, 99% ya wa kazi wa Nairobi wanaishi kwenye slums za kupanga, yaani hata slums na zenyewe mmepanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua haya maumivu yatapelekea watu ku post kibera
Pole sana km ulipitwa, nenda kafanye research ukipata kitu tofauti na nichokisema kilete kk wewe kidume kweliUliweka nini?
Naona bado unaendelea kujifariji[emoji1787][emoji1787]Mmekuwa waoga sana nowadays, kila siku mambo yanazidi kuwawia magumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]