Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hicho kinajikuta wa mjini kweli na wala hana lolote, watoto wa mjini kila mtu hu mind ishu zake..

Yeye kutwa kuteseka na vya watu
Makasiriko pelekea Uhuru co mm pumbavu wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kunyans mark this [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani c mmeona hili kaburi jinsi lilivyo? Nyie ngojeni mtaniambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani hii nchi ya ajabu sana, leo hii sikutarajia tuwe na expressway kali sana kama hii lakini ishatokea. Sijui kesho tutazindua mradi gani mwingine. Watanzania bado wanasubiri mkopo kutoka morocco🤣🤣
 
Malindi, eti nao wana mahoteli🤣🤣🤣🤣🤣 vile viboko niliwapa mpaka leo matakwo yao yanauma.🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…