Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Subutuu[emoji1787][emoji1787]
Kwn plates za usajili wa D tz ni za lini alafu utuonyeshe hyo barabara ilikengwa lini.
Utawafanganya wapumbavu
Wakati huo ilikuwa ndio imefumuliwa inawekwa lami upya, ni mwaka 2019 imwfunguliwa hiyo.
Lami ilikuwepo but ilifumuuliwa na kuwa upgraded. Hiyo iko hivo section ya Mafinga to Igawa (150km)
 
Maumivu ndani ya kooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ unandIka kwa hamaki!πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£., Vumilia.,
 
Watanzania wakilemewa na ukweli wanatafuta taarifa zilizopita negatives za Kenya, yaani historia isio kuwepo kwa sasa ili kujiliwaza, mnatia hurumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,.. this time round we put you in your place, taifa fukara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa ni kulia lia, no response to answer back from Tanzania, hakuna jibu., sasa ni ku google yaliopita kuhusu KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tumepiga watu kichapo cha mbwa with facts!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nje ya Dar na ndani kazi kwisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…