Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya cku hz mna inferiority complex ya kiwango cha juu sn dhidi ya Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi fukara yenye washamba kibao!!! wakuzubaa kwa beach na hadithi za vijiweni! una kicha wewe? mumedharauliwa ukanda huu, hadi Rwanda looks down on Tanzania unatuambia nini πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , ni kwa ajili ya vituko vyenu na kushangaa shangaa na mambo ya kawaida tuπŸ˜‚πŸ˜‚, mishamba
 
Maelezo bila facts ni sawa na taathira anayeongea mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
90% slumish ambayo wanakana, kwa standards zao uchwara hizo ni dream houses., middle class πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wnajiuliza kwanini mpira umekuwa Tz, angalia pitch za viwanja vyetu na vyao, Karume[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wamesusia battle mm naendelea tu, Kaitaba Bukoba[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
idiocy on steroids hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwani road yenye iko under construction inakuaga marked, ya pili, ignorance again on steroids, full lishamba., pale kuna njia tofauti zinapatana, a design to alleviate traffic, wewe unaona eti madoido, masikini ni masikini kila sehemuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamhuri Stadium, Dodoma [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Another ppp maana yake kuna toll ya mchina lazma mutalipia 🀣🀣🀣🀣 makosa ni yale yale kama expresaway
Wewe ni mpumbavu kweli, na huko ndio serikali yenyu fukara kwa sasa inakimbilia ili ku implement planned projects, tafadhali kuwa unasoma gazeti zenyu, yaani mimi am more informed about Tanzania kuliko watanzania wengi sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , tunaomgoza mnafuata nyayo zetu.., sasa pia mmeanza kuhesabu wenye coronaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, idiots!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…