Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

viwanja kama hivi bongo vimejaa kama mchanga.. kwann msijenge state of art stadia.. heri kujenga academy kuliko kujenga upupu kama huu karne.. hii ni kwa wote kenya na tanzania.. tuachane na viwanja vya design hii..
Yaani utadhani tulikuwa wawili sehemu tukaambiana tucomment hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani viwanja vya mpira vilivyo jengwa Tanzania zaidi ya miaka 20 iliyopita ndo failed state wanazijenga sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
viwanja kama hivi bongo vimejaa kama mchanga.. kwann msijenge state of art stadia.. heri kujenga academy kuliko kujenga upupu kama huu karne.. hii ni kwa wote kenya na tanzania.. tuachane na viwanja vya design hii..
punguza maneno tuoneshe hizo viwanja
 
Nimepost stadiums kama kumi hivi wewe ulikimbia, ss nenda juu uzijibu zile stadiums zen rudi nikupe dawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna stadium hata moja ulipost, zile ni takataka ukilisha na za Kenya.
 
viwanja kama hivi bongo vimejaa kama mchanga.. kwann msijenge state of art stadia.. heri kujenga academy kuliko kujenga upupu kama huu karne.. hii ni kwa wote kenya na tanzania.. tuachane na viwanja vya design hii..
Wewe huna akili, what's the need of building one big stadium in one place when you can buid many small stadiums using the same amount? No wonder in Tanzania anything meaningful is in Dar. In Kenya all the 47 counties are building their own stadiums, ukitaka evidence I can show you construction progress in those counties. Huko kwenu three quarters of the regions have no stadiums cause Tanzania is Dar is slum and Dar is slum is Tanzania.
 

hizo evidence ucharwa ukimuonyesha bibi ako inatosha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…