El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
sasa mbona ushaanza kulia lia? kushindana kwa hoja sio kuita watu majina. niko na video yako ya kile kichapo ulichopokea. endelea kuita watu usiowajua majinaDogo acha ligi za kijinga. Nimekueleza nipotezee. Kama unataka kupigwa ban endelea. Hapa tunashindana kwa hoja.
Soma hizi hapa rules za JF:
JamiiForums Rules
Ziko mob sana msee huwa zinatuaibisha huku, sina picha sahiiTuwekee hapa.Tanzania bus haziruhusiwi kupakia mizigo hats min bus. Nisheria mkuu
Zinaitwa Supper FEO
Ziko mob sana msee huwa zinatuaibisha huku, sina picha sahii
View attachment 543740 View attachment 543742