Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magu alikuwa na mipango mizuri sana, haya anayozindua au kuweka saini mama ni mipango ya Magu, nasubiri kuona mipango ya mama after one or two years.. hili mojawapo la kujenga shule za sayansi kwa ajili ya waischana by mama naipa tick ✅👏🤝👊.. waiting for more from her
 
✅✅

(neno ile, inaonyesha wana lengo la kujenga arena moja ambayo hata kwenye ilani ipo..sijiui ndo ile inayohuisha na ile hela ya bwawa la Nyerere)
Uwanja wa Dodoma sidhani kama utajengwa siskii ukiongelewa!
 
[emoji736][emoji736]

(neno ile, inaonyesha wana lengo la kujenga arena moja ambayo hata kwenye ilani ipo..sijiui ndo ile inayohuisha na ile hela ya bwawa la Nyerere)

Mwanangu its like my voice imesika ,.i have been shouting and writing about this kwenye forums..kwamba we need sports arenas we need academies kila mkoa .. am so happy and i will be more happy ikiwa implemented.last month i said we need to develop sports academies kwenye kila mkoa .. lets see now ..Hii itasaidia kwenye Ku diversify ajira za vijana
 

A 5km Viaduct will be so beautiful
 
Transport situation at the moment btn Kisumu port and Mbita and Takawiri Islands!
Hata ka ni ujinga basi punguza, hivi si ni wewe ulileta na inaonyesha 2015 hapo? Sasa hiyo 'at the moment' yako huoni ya kingese? 😂 👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…