Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia tena tanzania ina millionares wengi kuliko kenya, uganda , rwanda and burundi combined yani hata ukikasirika haita saidia πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
mtoto kaota ndoto mchana
 
Hakuna nchi itakaribia Tz hapa Afrika kwa urefu wa modern railway lines when our SGR is completed, yn kwa kifupi Tz ndio itakuwa China ya Afrika mtake msitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Upon completion it will be the longest electrified railway line ever seen in Africa so Tz will soon be called The China of Africa, UKIONA INAUMA CHOMOA AU SUBIRI WAKURUNGWA TUPAKE MATE [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani hii mikunya kupakatwa kote na mabwana zao hakuna sehemu wamefika [emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati Tanzania ikishirikiana na nchi zingine kusini mwa Africa kupigania uhuru wao walikuwa wakishoboka kwa wazungu na hakuna sehemu wamefika zaidi ya kuangukia kwenye umaskini wa kutisha, njaa, ukabila uliokithiri, slums zinazoota kama uyoga kila kona.

Nchi haina vita ila inasumbuliwa na njaa kila mwaka.
 
πŸ–‘niaje aje IanLee.. me too am frm kco. but currently lives in nai
 
Munaeza kujionea hawa watu vile wajinga sijapata kuona in my life πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ nn amepost huyu mtu nisaidieni
 
Hizi design mbona zipo tu, nchi nyingi sana, wana mpaka za kitambo, kuna wanaozitumia sana na kuna wasiozitumia sana ila zipo hata hapo kwenyu zipo na wajua hivyo! 🀣 🀣 🀣
Ni failed state only ndio kuna maajabu ya firauni yaliobakia dunia hii 🀣🀣🀣

yani 2018 munaletewa treni ya 1900 alaf munasema nyinyi ndio munamaendeleo😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…