Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwa na 'Likes' nyingi si hoja, kitu ni hao wawili wa Nigeria aliwashindia likes, ako level yao kimuziki??? Na ni Waafrika kama yeye sasa! 🀣 🀣 🀣
We punda milia hujui chochote kuhusu mziki kaa kimya, hiyo sio mara ya kwanza Platnumz na WCB kufika hapo.. hii apa ni 2017 hao wapuuzi wote Platnumz ameshawakalisha kwenye tuzo tofautofauti, Kabati lake la tuzo zipo zaidi ya Hamsini wewe ndio ni walking died huna unachojua mfanya usafi airport wewe.. bro The best 007ongea na huyu mfanya usafi airport
 
1970 train vs 2018 train πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ nani anafaa kutafuta mchawi

View attachment 1812175
Nchi zilizoendelea ziko pia, kando na kuwa wanaunda latest locomotives kila kukicha! 🀣 🀣 🀣
South Africa(diesel)

South Africa(electric)

United Kingdom(diesel)

United States(diesel)

North Korea(electric)

Iran(diesel)
 
πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ Mondi hawafikii Kimuziki, kihela... Sio leo wala kesho! And you know it! Just cry, I won't mind! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ Mondi hawafikii Kimuziki, kihela... Sio leo wala kesho! And you know it! Just cry, I won't mind! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
We mjusi kafiri, kuhusu hela ndio usiseme kitu, Mondi ni level nyingine kabisa, hao ni watoto wadogo tu pande zake
 

Great News.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…