Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie nairobi kufikia density ya dar labda ile misitu iishe kwanza ambayo ni nusu ya area ya nairobi 🀣🀣🀣🀣 angalia umbali wa hio pic ilipopigwa kwanza
 
Ukiwaambia hii tandale wanaanza kulia hii unaeza fananisha na makuru kayaba ?? Serious πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bado Sana, Nakuru babayao

Hii kitu nilikuuliza, why are traffic lights working half of the time??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Alafu hii picha ya chini ya kitambo, ama bado "new buildings" zinajengwa za invisible??? πŸ˜‚
Nyie wapuuzi wote wawili, ni haramu na ni dhambi kubwa sana kuitaja Arusha kwenye sentence moja na Nakuru, Arusha ni kitu kingine kabisa yani Arusha ni mji ambao upo kwenye league yake kwa hapa EA, kwanza ni green City, mji wa utalii, makao makuu ya EA .. duh eeh bhana eeh Ila sitaongea tu hiv hiv lazima niwanyooshe kidogo .. en this is Arusha you fucking guys don't know aboutmakao makuu posta Africa 17 floors ☝️ . . Hadi uswazi Arusha sio pakupima mzee cheki maneno☝️.. alaf ona heb lete hotel hata moja Nakuru and kusumu combined ambayo ni similar na hii πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚ alaf nakuita uku tumalizaneNB: nakuru and kusumu combined haziwezii ishinda Arusha mpaka kiama

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…