Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti wana insfastructure hawa πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Leleshwa & Yatta wines πŸ‡°πŸ‡ͺ














Leleshwa winery, which is named after a common tree in the vicinity, continued to grow and now prides itself as the 2015 winner of Michelangelo Wines and Spirits best white wine award, snatching Double Gold for the Leleshwa 'Sauvignon Blanc 2017' . It is also the only winery between North of Johannesburg and South of Sicily with a female winemaker.
 
Tanzania ni bingwa wa haya mambo ukanda huu.




Halafu watakuambia wamesoma wana exposure kumbe Big zeros

Yaani wakenya sio wabunifu kabisa kwenye almost kila angles za maisha

Hawapo creative kwenye kila kitu na Wanategemea creativity ya watanzania kwenye kila kitu

Kuanzia

Kilimo
Furniture
Ujenzi
Magari
Music
Mapishi
Fashion
Mengi mengi mengine

Wana bahati sana tumepakana
 
It's such an embarrassment to hold a winery talk with Kenya, hahaha

Tanzania kuna zaidi ya brands 100 za wines mzee, of course Kenya pia ni soko letu la wine ya Tanzania

Hizo backyard Gardens za kileleshwa keep for your village consumption sababu hata hazitoshi Town consumptions



 

Tanzania kwa wine ni issue nyingne nafurahi jinsi hii industry na horticulture zinavyokiwa ..the goverment should continue backing them and never let them fail we are on road to greater things
 
Eti 2000 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Private project for his few people ndio unasema ni mradi wa Kenya nzima?

Tena mradi wa 2018 unasema wa 2000 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata Mpesa bado haijulikani itakua lini
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wacha kubishana wakati huna hata kibanda Kenya. The Kenya Power introduced pre-paid electricity meters in 2000 as a pilot phase to save electricity and ease consumption and utility bill payment. Water meters were introduced in 2009. Wewe kweli akili haikupita shule, kuna private sector zinazo supply hizo meter kwa serikali na bado kuna government owned meters. Hujui huku serikali haishikilii kila kitu ka Tz! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
100 local wine brands? πŸ˜‚ Gaddamn,nipe list ya brands tu from 1-100 coz according to my source hazifiki 100 zenye ziko locally produced.
Alafu sijasema tunashindana kwanza, I was just showing you our local brands too, siati hatujui kutengeza, and as you can see, it's an award winning winery from a Kenyan woman, oh we're proud of her.
Hizo zenyu 100, ambazo I know ni chai tu unatema hapo kujifurahisha, kaeni nazo. Btw, hata international brands ziko kibao huku, yeah and that's a fact bro! 🀣 🀣 🀣
Tema hicho kiazi, kitakunyonga!!! 🀣 🀣 🀣 πŸ’‰
 
[emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…