Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata wewe mwenyewe wajua story za vijiweni hizo, jiliwaze na hilo basi alafu ukimaliza nipe link pahali walifanyiwa hivyo unavyosema, nifunge acc yangu! 🤣 🤣 🤣
Unataka ushahidi KDF wanavyofirw* eeehh!???..al shabab sio watu wazuri kabisa..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watanzania ndio wajinga zaidi, unafunzwa elimu part two yote kw kingereza alafu mwisho wa siku unaambulia patupu kwenye lugha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa hapo mjanja nani na mjinga nani?kwhyo ufunzwe kw kingereza tokea la lwanza mpka chuo alafu uambulie patupu kwnye lugha..
Kweli nimeamini watanzania akili sufuri[emoji2960]
Form one mpka form unafundishwa kw kingereza lkn mwisho wa siku zezeze[emoji1787][emoji1787]
 
ichoboy01 ni kilaza nambari moja jf[emoji1787][emoji1787]
 
if we unite with these 'makwerekwere', we'll spoil the broth as kenya. combined gdp of the rest of EA bado haifikii ya kenya. ie. tz,ug, rwada, burndi, ssudan. hence: $(63+30+11+3+3)B=$110B respectively.
against kenya's $126B!. better kila mtu abambane na hali yake
 
Magufuli alikua genius kwenye option ya Dodoma

Kabadilisha sana Dodoma mpaka saivi, sijui miradi yote inayoendelea ikikamilika itakuaje

Kitendo cha wafanyakazi zaidi ya 30k wa serikali (mostly middle incomers & higher incomers) kuingia kwenye eneo for the first time, economic effects zao ni kubwa sana kwenye uchumi wa Dodoma.

Saivi kila business kubwa inahangaika kufungua branch Dom
 
Sindano za hizo tweet zimekuingia vizuri kabisa [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwa niyaonayo Dodoma kila nikitembelea naona soon nikinunua kiwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…